friza

  1. Jemima Mrembo

    Chest Freezer nzuri sana linauzwa

    Aina: Boss Hali yake: Nzuri sana Bei: 550,000 Lilipo: Dar es Salaam Mawasiliano:- 0675341515 NB: FREEZER HAINA SHIDA YOYOTE NA WALA HAIMJUI FUNDI. NAIUZA KWASABABU SINA Matumizi nayo kwa sasa
  2. Mark Shafii

    Naombeni ushauri ninunue friza la kampuni gani?

    Assalamualaikum, Naombeni ushauri ninunue friza la kampuni gani kwa ajili ya biashara ya soft drinks na maji kwenye duka la rejareja.
Back
Top Bottom