Kipimo cha hesabu kamili ya damu (Full Blood Count) ambacho pia huitwa kipimo kamili cha damu (Complete Blood Count) au kipimo kinachotoa taswira kamili ya hali ya damu (Full Blood Picture) Ni kipimo cha uchunguzi wa damu ambacho hutumika kutoa taarifa muhimu kunako hali ya mgonjwa zinazosaidia...
Full blood picture ni kipimo gani? Je, nikipima kipimo cha Full blood picture kila ugonjwa mwilini mwangu utaonekana?
Full blood picture au Full blood count kimekuwa ni kipimo kinachosikika sana kikitajwa mara nyingi kila tuendapo kupata huduma kwenye vituo vya kutolea huduma za afya.
Ukitumia...
Kila nikienda hospitali naambiwa nina Infection, Infection ni nini? na kwanini kila mara naambiwa nina infection?
Ili kuelewa maana ya Infection na kwanini mara kwa mara unaambiwa una Infection ukienda hospitali, ni muhimu kwanza kufahamu japo kidogo jinsi mwili wa mwanadamu unavyofanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.