full

Full contact karate is any format of karate where competitors spar (also called Kumite) full-contact and allow a knockout as winning criterion.

View More On Wikipedia.org
  1. Full time score prediction PSG 2 Liverpool 1

    Jamani hayo ni macho yangu ya rohoni ikitokea ivyo mnichangie niwape na matokeo mechi ya Simba vs yanga correct score Bibi kasema wa kubet stake a wife
  2. Ziara za Rais Samia ni za kuonesha ukwasi wa Serikali kwenye anasa? Hana habari na Trump kukata pesa? Full anasa

    Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo. Hii ni nchi...
  3. G

    Kwanini tusiingie makubaliano ya ulinzi na kibiashara haswa madini na DRC , JW ingie full scale kulinda mipaka ya DRC ?

    Sina mashaka na Jeshi letu tukiamua kulipa Hilo jukumu Tuna HISTORIA nzuri sana tangu ukoloni Hadi leo Kwa Dunia ya leo vita kubwa ni ya kiuchumi Kila mmoja ana angalia mwenzake atampa Fursa Gani Leo DRC ni nchi kubwa ya kimkakati kiuchumi haswa upande wa soko la bidhaa mbalimbali za...
  4. R

    Sinza duka linafunguliwa saa 5, kuna T shirt 4, Jinsi 3 ila ndani full AC, Wifi, Dstv, Nje imepaki ndinga ya milioni 50+, wenzetu wanafanye?

    Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please. Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni...
  5. Dunian sijawai kuona mji wa kipuuzi Kama Phuket unazunguka hotel zaidi ya 200 zote full?

    Mwezi Jana nilikuwa phuket kwa kazi fulan sehemu inaitwa Patong! Kilichosaidia nili book mapema Agoda lengo nikifika nibadili hotel maana kwa siku moja mtu unatozwa baht 12,000 Sawa na usd 500$ , asubuhi nikachukua taxi tukazunguka kila hotel kutafta cheap ! Nazo Nikaambiwa kwamba hata hiyo...
  6. M

    Asante sana Ibenge kwa ushindi wa Yanga SC

    Huo ndio undugu sasa. Maana sisi wenyewe tusingeweza Game yetu ya mwisho na waarabu tushindwe wenyewe sasa. Turejesheni calculator za watu Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
  7. Wapi wanafaa zaidi: Legelege ila wana full mahaba au wachapakazi ila mabandidu?

    Wakuu Hakuna aliye mkamilifu chini ya jua. Mara nyingi muumba atakujalia kipawa au karama hiki akakunyima ile hiyo ndio hali halisi. Wengine wameenda mbali zaidi kudai hata malaika sio wakamilifu 100%. Sasa kwenye mambo ya mahusiano kuna wanaojulikana wako njema sana kwenye mahaba ila wako...
  8. Ibenge kasema hataki Kuchafua Jedwali, hivyo 'pira lipigwe' na anaweka 'muziki full mkoko' huko mlikomfuata

    Yaani mpaka sasa Yeye ndiyo hajafungwa Mechi hata Moja halafu na Fedha zenu za Kukwepa Kodi za Kampuni yenu (yenye shareholder mkubwa Mstaafu Mr. Chalinze Bagamoyo) ndiyo mnataka mumuzawadie ili 'awaminyie' mumfunge kisha mjiweke pazuri mvuke mkijiaminisha kuwa iwe isiwe Mwarabu atakufa Temeke...
  9. C

    Full funded scholarship in Taiwan

    Habari zenu, TaiwanICDF Scholarships zimefunguliwa kwa sasa. Ni full funded kwa masters na PhD Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu search TaiwanICDF scholarships, utakuta maelezo yote pale. Kama utakwama sehemu wakati wa application nitafute Whatsapp kwa...
  10. C

    Taiwan Full funded scholarship opportunity

    TaiwanICDF Scholarship is now open till 1st march. The scholarship is full funded for masters and PhD and covers flight expenses go and return. The programs are English taught. It's so easy to apply all you need is to visit TaiwanICDF website and download the guidebook there you'll find all the...
  11. R

    Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

    Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake! Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea. TULIPOFIKIA SASA YOU ARE THE LAST LINE OF...
  12. T

    Mwenye kuhitaji King'amuzi cha Canal+ full na dish lake 90k

    *Kimetumika *Hakina shida *Dish halina kutu *Hakuna discount *Dar es salaam Ukihitaji call 0785165877
  13. Sandhguru anasema inapofika wakati wa full moon mwanadamu anapitia hali ya hulka zake kuwa kiwango cha maradufu pasipo kawaida

    Anasema kwa mfano kama wewe ni mtu wa hasira sana na ukaendelea kuwa na hulka hio hadi wakati wa full moon basi itakupelekea kufanya jazba kubwa hata kwa vitu vya maudhi madogo. Anasema pia sio kweli eti full moon inakupa nguvu hasi ndani yako bali ina zidisha energy iliopo., kama uliammka na...
  14. Samsung s24 ultra full box bei 1.9m

    KIMFAACHO MTU CHAKE NAUZA SAMSUNG S24 ULTRA FULL BOX STORAGE 512GB RAM 12GB NIMETUMIA MWEZI TU BIASHARA POPOTE TUNAUZIANA BEI 1.9M KWA MUHITAJI PM
  15. Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

    Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa πŸ‘‡πŸ‘‡ Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE? Maswali yanazidi kuchanganya umma...
  16. Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

    Match Day Simba SC vs Bravos do Maquis FC Time 1600hrs Kikosi Cha Simba Kinachoanza. #Nguvumoja Updates... 1' Mpira umeanza kwa kasi, Simba wanamiliki mpira wanapeleka shambulizi ndogo kwa Bravos. 3' Game on 0-0 7' Simba wanafanya shambulizi kwa Bravos halifanikiwi. Wanashindwa kudhibiti...
  17. FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

    πŸ† #CAFCL ⚽️ Young Africans SCπŸ†šAl Hilal πŸ“† 26.11.2024 🏟 Benjamin Mkapa πŸ•– 10:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal Dakika ya 5 Mpira Umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi Dakika 25 Yanga wanakosa nafasi ya wazi Dakika ya 29 Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa...
  18. Suzuki Vitara: Muda wa kwenda Full Electric sasa!

    Wajapan wanakaza sana kwenda EV, na Suzuki hajawahi kutuletea EV sasa amebanwa imebidi atuletee eVitara. Ni small SUV itakayokuja na battery tofauti tofauti na ndogo kabisa itakua ni 49kWh itakayokua na range ya 400 km. Specifications nyingine hawajatupatia ila tutegemee kuiona 2025.
  19. C

    Full funded scholarships in China

    Habari zenu, Chinese Government Scholarships zimefunguliwa kwa sasa. Ni full funded kwa undergraduate, masters na PhD Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu search csc scholarships, utakuta maelezo yote pale. Kama utakwama sehemu wakati wa application...
  20. H

    Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu

    Kwa mujibu wa tovuti mbali mbali za kimataifa zimesema kuwa kuna uwezekano wa Israel KUISHAMBULIA IRAN leo usiku kama Kujibu shambulio la Iran la apo juzi. Inasemekana Israel tayari umeanza mipango ya kuishambulia Iran leo huku kukiwa na hofu ya Israel KUISHAMBULIA visima vya mafuta vya Iran...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…