fundisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Matola PhD

    Uongozi wa Yanga ukomeshe waandishi uchwara madalali wa Simba ili iwe fundisho kwa wahuni wengine

    Ni dhahiri kabisa media house imevamiwa na wahuni na inashangaza kuona gazeti likienda kuchapishwa huku likibeba habari za uongo kana kwamba hakuna mhariri. Ushauri wangu kwa Uongozi wa Yanga ni huu, ili kukomesha tabia hii ya unprofessional journalism Uongozi wa Yanga utowe tamko la Boycott...
  2. H

    Usitafute pesa kwasababu ya mwanamke, iwe kwaajili maisha yako. Kilichomkuta huyu jamaa ni fundisho tosha!

    Habari wakuu Nimekuwa na msemo mkubwa sana ambao umekuwa ukitumika sana, "tafuta pesa". Hasa linapokuja masuala ya kuhonga, lakini ndugu unaweza ukajisifu unahonga ila kuna watu wanahonga sana wewe cha mtoto. Ngoja niwape kilichomkuta jamaa yangu, kilinisikitisha, nisingipenda nitaje majina...
  3. E

    Adhabu ya Haji Manara iwe fundisho kwa wote wenye Tabia kama zake

    Kwenye Maisha kuna kitu kinaitwa kiongozi na Mamlaka ya kiongozi ,kila kiongozi huwa kuna maamuzi ambayo anaweza kuamua kutokana na Mamlaka aliyo nayo. Kwa upande wa Haji Manara kama inavyonunukuliwa alichokisema kwa kiongozi wa TFF "Wewe unanifatafata sana, hii ni mara ya tatu, sikuogopi kwa...
  4. Google Diggers

    Japan: Aliyemuua Waziri Mkuu Mstaafu amenipa fundisho kuu

    Kwenye hoja Moja kwa moja. Haya maisha hayaishi. Muuaji amenipa funzo kuu. Kwamba nisithibutu kuishi na nyongo. Tunakosewa Sana na viongozi, viongozi hawajui tunayopitia. Wao madam wanasafir kwa ving'ora na nyumba zao zinalindwa sisi tunaishi kama digidigi. Tunamolala wakati tukiutafuta...
  5. saidoo25

    Hili lililomkuta Bashe liwe fundisho kwa Mawaziri

    Leo Waziri wa Kilimo ametamka hadharani kuurejesha Mfumo wa Ununuzi wa Mbolea BPS ambao ulifutwa Juni 2021 na kusababisha mfumko mkubwa wa bei za Mbolea nchini kwani wafanyabiashara waliuza mbolea kwa bei wanayoitaka wao bila kuwepo usimamizi wa Serikali. Jambo hili lililalamikiwa sana na...
  6. fastum

    Serikali mtafuteni huyu katili ili iwe fundisho kwa wengine

  7. M

    Sakata la Halima Mdee na Wenzake ni fundisho tosha kwa ambao hawana uchungu na taifa lao. Ikipendeza wapiga kazi mpaka 2025

    Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika! Mbona mnashabikia upuuzi usio na tija yaani bil 11 na ushee zinatumika kushuti filamu ya kawaida kabisa...
  8. Expensive life

    #COVID19 Corona ilivyonipa fundisho la maisha

    Janga la covid19 lilishika kasi hapa kwetu Tanzania mwanzoni mwa mwezi wa nne 2020 hapa ndio tahadhari zikaanza kuwekwa na serikali ikiwemo mikusanyiko na uvaaji wa barakoa. Wakati janga hili linashika kasi, kampuni ambayo nilikuwa naifanyia kazi mkataba wangu wa kazi ndio ulikuwa ukingoni...
  9. CPA

    Kwa hali hii Zelensky akubali yaishe, kuokoa nchi kuwa magofu. Ila Putin amepata fundisho

    Kuanzia tarehe 24 Urussi imekuwa ikashambulia ukraine kwa makombora toka kila upande (Angani, ardhin na baharini), hii imetokea baada ya vita ya ardhini kupata upinzani mkubwa toka kwa majeshi ya ukraine na washirika wake baada ya kupokea shehena ya siraha toka nchi za magharibi. Sasa Urussi...
  10. K

    Simba yapoteza kwa Asec Mimosa, lakini kuna fundisho kwa wasio na uzoefu

    Nalitazama Kundi C CAF CL, Jwaneng Galaxy ana Point 1 mpaka sasa na mechi 1 mkononi,Mamelodi Sundowns na Al Ahly Wana Nafasi Kubwa Ya Kupita. Halafu,Natazama Kundi A, Timu mbili Za Sudan Hapo zilipofika kwa kweli CAF Wanatakiwa wazishukuru Kwa Kuja,Matumaini ya Kupita ni Zero! Simba...
  11. sky soldier

    FUNDISHO: Kila mtu ana mbabe wake

    asili yake ni ubabe
  12. tpaul

    Ujambazi wa polisi liwe fundisho kwa Serikali ya Rais Samia

    Baada ya vitendo vya kijambazi vinavyofanywa na polisi kushamiri katika siku za karibuni, sasa imefika wakati serikali ijithathmini namna ya kuwachuja polisi wanaofaa kuajiriwa. Madhara ya kung’ang’ania form four failures (Divison 4 & 0) ndiyo yametufikisha hapa tulipo. Sasa serikali ianze mara...
  13. Frumence M Kyauke

    Donald Trump - Truth Social itakuwa fundisho kwa mitandao inayonyima watumiaji uhuru wa kujieleza

    Mtandao wa Donald Trump "Truth Social" unaweza kutengeneza mamilioni au kughafilika! Umejikita kupeperusha masuala ya kisiasa yenye mashiko moto moto na kumpa rais wa zamani nafasi mpya ya uonevu Ukweli wa mtandao huu wa Kijamii umejikita kutengeneza pesa. Ajabu, pia unapiga marufuku "matumizi...
  14. Kijogoodi

    Anthony Diallo aomba radhi kwa waliomuelewa vibaya kauli yake ya 'Viongozi waliopita walikuwa na Matatizo ya Akili'

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, bwana Anthony Diallo amewaomba radhi watanzania kwa kauli zake alizozitoa kuwa viongozi wa Serikali waliopita walikuwa na mafaili mirembe. ======== Diallo: Mimi nadhani ufafanuzi unatosha, nawataka radhi wale ambao walinielewa vibaya, kuna kunielewa...
  15. Nduka Original

    Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

    Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya umauti haujamkuta. Walianza maisha na mkewe na Mungu aliwabariki kufikia walipofikia. Walitofautiana...
  16. 2

    Naombeni mawazo yenu kwa adhabu anayo staili Mwanamke msaliti iwe fundisho

    Habari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance...
  17. Tunzo

    Wito kwa CAF na FIFA wafuatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe fundisho

    Wito kwa CAF na FIFA wafwatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe Fundisho, kama kweli ratiba ilibadilishwa kwa sababu za itifaki ya kitabu kuwa kuna huduma zingine hii halikubaliki, kwani kabla ya hayo masaa 24 ratiba hiyo ya kiserekal ilikuwa haitambuliki? Yani...
  18. D

    Kuliko kufunga wasiojulikana; Serikali ingefunga na wale wasanii wanaotongoza wanafunzi ili fundisho lifike kwa jamii

    Huko vijijini kuna kesi za masikini kuwarubuni watoto wa shule kingono na huamuliwa ili iwe fundisho kwa jamii. Huko vijijini kuna kesi za walimu kuwatongoza wanafunzi kwa tuhuma ya kuwakonyeza au kuchat nao tu na huamuliwa jera ili fundisho kwa jamii. Je, Serikali haioni kuwa kuna umhimu wa...
  19. Richard

    Askari DEREK CHAUVIN akutwa na hatia ya mauaji ya George Floyd

    Wazee wa baraza katika kesi ya mauaji ya mwafrika mmarekani George Floyd wanatarajiwa kurejea mchana huu na majibu ya hatia kwa mashtaka yote matatu. Derek Chauvin ambae alikuwa askari polisi alimwekea goti shingoni George Floyd kwa dakika tisa na sekunde 29 alipokuwa akimkamata na kusababisha...
  20. B

    Kuna mtu mwenye Phd anatumbuliwa, iwe fundisho kwa wenye viburi vya elimu

    Kuna watu wanaamini kuitwa Dr au Prof ndo wamesoma na wana suluhu ya matatizo ya Dunia. Wanasahau kwamba hizo elimu siyo uwezo wa kudeliver. Natabiri muda wowote kuanzia Sasa wenye dharau kwa sababu ya Phd wataanza kurudi vyuoni. Waliaminishwa kwamba wizarani na kwenye taasisi nimaeneo ya...
Back
Top Bottom