Hakuna siku wanaume wamekaa na kuamua kuwakataza wanawake wasiwe viongozi, kwenda shule, wasifyatue matofali, wasiangue madafu kwenye minazi, kuendesha bodaboda, kufanya biashara Wala kuwinda.
Tangu enzi hizo za kale kulikuweko na wanawake wanaopambana na biashara huko tabora, queen of Sheba...