Sijui ni mimi tu au, ila naona kama nyimbo nyingi za Bongo Fleva ziku hizi fupi sana. Ni nadra kuona wimbo umezidi dakika 4.
Nyingi zinaishia dakika 3 na nusu na nyingine hadi dakika 2 na sekunde kadhaa. Hapo kuanzia biti la kuanza hadi mwisho kabisa.
Nakumbuka zamani kidogo wimbo kua na...