Mdau wa michezo Furaha Dominic amesema amezuiliwa kuwa Mgeni Rasmi katika fainali ya mchezo wa mpira wa miguu katika ligi ya Kunduchi super cup kutokana na sababu ambazo amesema ni za kisiasa kwani alipata mualiko wa kuwa mgeni rasmi katika fainali hizo wiki tatu kabla lakini leo imeenda...
Furaha Jacob, ambaye ni mkemia na mwenzake, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo kuchapisha na kusambaza picha za ngono mtandaoni.
Mbali na Jacob, mshtakiwa wa pili ni Mustapha Kuhenga(28) ambaye ni mtaalamu wa Tehama na...
Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing).
Furaha Dominic ni yule kijana ambaye Magufuli alimkata jina na kusisitiza kuwa hafai kuwa mbunge wa Kawe. Magufuli huenda alikuwa anajua...
Furaha Dominic ni mpwa wa hayati Magufuli.
Jumatatu alikuwa na mjadala katika kipindi cha The Big Agenda kinachorushwa na Star tv. Kutokana na mambo mengi aliyokuwa nayo muda wa kipindi haukutosha hivyo mtangazaji nguli Aloyce Nyanda aliahirisha hadi leo saa 3:30 usiku.
Furaha awali alielezea...
Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.
Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
Furaha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa orodha ya Wafitini wote waliomzunguka.
Furaha anadai CCM kumejaa siasa chafu za kupakana matope...
Furaha Dominic ambaye ni mtoto wa dada wa hayati Magufuli amesema haoni tofauti yoyote kati ya utawala wa mjomba wake na Rais wa sasa mh Samia.
Dominic ambaye aligombea ubunge Kawe amesema hajawahi kumuona mtu mwongo hapa duniani kama askofu Gwajima.
Kipindi kiko mubashara Star tv, karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.