Kauli huumba..Matamshi kama haya toka kwa AMIRI JESHI MKUU yanawaoa polisi, TISS, JWTZ ( kwa kiasi kidogo) kuua, kuteka, kuumiza, kupoteza watu.
Ukishasema hutawavumilia watu, interpretation ya polisi in particular and TISS umewachochea kufanya " uhalifu". Kauli ya upatanishi ndipo ilikuwa...