SI KWELI Rais Samia asema hawezi kuvumilia wanaofurahi viongozi wakifa

SI KWELI Rais Samia asema hawezi kuvumilia wanaofurahi viongozi wakifa

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Kauli huumba..Matamshi kama haya toka kwa AMIRI JESHI MKUU yanawaoa polisi, TISS, JWTZ ( kwa kiasi kidogo) kuua, kuteka, kuumiza, kupoteza watu.

Ukishasema hutawavumilia watu, interpretation ya polisi in particular and TISS umewachochea kufanya " uhalifu". Kauli ya upatanishi ndipo ilikuwa mahali pake na si kuwachochea.
Rais Samia Machi 31.jpg
Ingelikuwa mimi ningeliwaita wateule wangu na kuwaonya na matamshi ambayo siyo rafiki kwa wananchi.

Lukuvi Alikuwa na matamshi ya KIBURI CHA MADARAKA

Moderators nisaidie maandishi ya kwenye picha yaonekani.
 
Tunachokijua
Kumekuwepo na mjadala mpana mtandaoni kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni tabia ya baadhi ya Watanzania kufurahia vifo vya viongozi wa umma. Mjadala huu umeibuka mara kwa mara hasa pale kunapotokea matukio ya vifo vya watu mashuhuri, na mara nyingi huambatana na maoni yenye hisia kali kutoka kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii.

Baadhi ya sababu zinazochangia hali hii ni pamoja na kutoridhishwa na uongozi au maamuzi ya kisiasa, mgawanyiko wa kiitikadi, pamoja na mazingira ya mitandao ya kijamii yanayoruhusu maoni kusambaa kwa haraka bila uchujaji. Aidha, matumizi ya kejeli (satire) na mzaha pia wakati mwingine huchangia kuchanganya ukweli na upotoshaji, na hivyo kuibua tafsiri potofu kwa hadhira.

Madai kuhusu Rais Samia
Ni katika muktadha huo ndipo kumekuwa na madai yanayosambaa yakidai kuwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuvumilia watu wanaofurahia vifo vya viongozi. Kwakuwa kauli ya Rais inaweza kubeba uzito mkubwa kijamii, ni kuhimu kuuchunguza uhalisia wake.

Ukweli upoje?
Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck kwa kutumia nyenzo za kidogitali haukupata ushahidi wowote wa kuaminika unaothibitisha kuwa kauli hiyo imetolewa na Rais. Hakuna marejeo wala rekodi ya kauli hiyo katika hotuba zake rasmi, taarifa za Ikulu, wala katika vyombo vya habari vinavyoaminika.

Zaidi ya hapo, uchambuzi wa namna ujumbe huo unavyosambazwa unaonesha uwezekano mkubwa wa kutungwa au kupotoshwa, jambo ambalo ni la kawaida katika mazingira ya mitandao ya kijamii ambapo taarifa nyingi husambaa bila kuthibitishwa. Kukosekana kwa chanzo rasmi ni kiashiria muhimu kinachoonesha kuwa madai hayo hayana ukweli.

Ni muhimu kwa kila mtu kuhakikisha anathibitisha taarifa kupitia vyanzo rasmi na vinavyoaminika kabla ya kuzisambaza, ili kupunguza kuenea kwa taarifa potofu na kulinda uadilifu wa taarifa katika jamii.
Kauli huumba..Matamshi kama haya toka kwa AMIRI JESHI MKUU yanawaoa polisi, TISS, JWTZ ( kwa kiasi kidogo) kuua, kuteka, kuumiza, kuooteza watu.
Ukishasema.hutawavumilia, interpretation ya polisi in particular ans TISS umewachichea kufanya " uhalifu".
Kaili ya upatanishi ndipo ilikuwa mahali pake na si kuwachochea.
Ingelikuwa mimi ningeliwaita wateule wangu na kuwaonya na matamshi ambayo siyo rafiki kwa wananchi.

Likuvi alikuwNna matamshi ya KIBURI CHA MADARA

Moderators.nisaidid maandishinya kwenye picha yaonekani Maxence Melo
Huyu mwanamke kichwa maji sana ila mwisho wake utakuwa mchungu sana kwake
 
Kuna maza nilimkuta anamlalamikia yeye kwamba anawapukutisha tu wenzake alianza na Mkapa, akaendelea mpaka sasa kila anaemuona namna gani anamla kichwa cha kushangaza viongozi wa Zanzibar hatusikii wanakufa au wao wana hati miliki ya Uhai?
 
Mmejaa chuki za kijinga jinga,ni specie ya hovyo sana kenge nyinyi
Lukuvi ni mbunge kwa miaka 30,atashindwa kujenga hotel kwa marupuprupu aliyopata!?..mnadai kawaibia,kawaibia nini!?
Sugu kajenga hotel baada ya kuwa mbunge,naye kawaibia!?

Mwizi yule wewe! Yupo nyuma ya skendo ya Lugumi, yeye ndiye alikuwa bingwa wa ku endorse miradi ya kipigaji akiwa ardhi na makazi. Usitake tukupe faili, zee jizi lile.
 
Inaonekana Raisi hana washauri sahihi... Hata yeye binafsi hana HEKIMA. Sasa sijui anaishije duniana hapa kama havai viatu na kuona hari za wengine anaowaongoza.

Washauri na Raisi wetu wanatutenga kihisia.

Unajua kuna matajiri wa mali walio wengi hawatakagi kuwaona hata kuwasikia masikini wanaona kama wanawaharibia siku (moon).

Na wanaamini hari za wale masikini ni uzembe ujinga wao wa kutafuta... kumbe maisha ni Siri.
 
Yeye anapoua watu, kutesa, kubabika kesi ndio akili? 😁
Kama ni akili hata yeye hana.
Utake kumpindua asikubonde?..uchome miundombinu tuliyojenga kwa mkopo usibondwe,we nani?..yaani mbwa kama wewe una faida gani kwa nchi
 
Mwizi yule wewe! Yupo nyuma ya skendo ya Lugumi, yeye ndiye alikuwa bingwa wa ku endorse miradi ya kipigaji akiwa ardhi na makazi. Usitake tukupe faili, zee jizi lile.
Lugumi ana skendo gani ya wizi?..miradi ya kipigaji ipi,upigaji ulikua vipi?
 
Kauli huumba..Matamshi kama haya toka kwa AMIRI JESHI MKUU yanawaoa polisi, TISS, JWTZ ( kwa kiasi kidogo) kuua, kuteka, kuumiza, kuooteza watu.
Ukishasema.hutawavumilia, interpretation ya polisi in particular ans TISS umewachichea kufanya " uhalifu".
Kaili ya upatanishi ndipo ilikuwa mahali pake na si kuwachochea.
Ingelikuwa mimi ningeliwaita wateule wangu na kuwaonya na matamshi ambayo siyo rafiki kwa wananchi.

Lukuvi Alikuwa na matamshi ya KIBURI CHA MADARAKA

Moderators nisaidie maandishi ya kwenye picha yaonekani Maxence Melo
ni binadamu marehemu mtarajiwa mwenye isue ya changamoto ya afya ya akili pekee ndie anaweza kufurahia umauti wa binadamu mwenzie alietangulia mbele ya haki,
na nadhan ni muhimu sana hatua muhimu na za makusudi kuchuliwa ili kuwanyorosha watu wenye akili na tabia hizo mbaya zilizo kinyume na maadili.

ni lazima waache mara moja.
 
" Hakutokuwa na nywinywi wala nywinywinywi"

Hiyo kauli imepita na ndugu zetu wa kutosha October 29, so sad.
 
Utake kumpindua asikubonde?..uchome miundombinu tuliyojenga kwa mkopo usibondwe,we nani?..yaani mbwa kama wewe una faida gani kwa nchi

Hakuna mtu alitaka kumpindua huyo mama! Kabla ya uchaguzi mkuu yaani Oktoba 29, huyo mama alikuwa tayari amemuua Soka, Dionizi, Kamuua Kibao, kamuua Chaula, kamuua Polepole na wengine wengi,
Nani kati yao alimpindua?
Mdude alimpindua lini?
Mzee Kibao alimpindua lini?
Ni miundombinu gani Polepole aliharibu?
Ni miundombinu gani Chaula aliharibu na alipindua nini?
Dionizi Kipanya aliharibu miundombinu gani?
Soka alitaka lini kumpindua huyu mama?
 
Lugumi ana skendo gani ya wizi?..miradi ya kipigaji ipi,upigaji ulikua vipi?

Kumbe wewe ni mtoto mdogo tuu na hujui lolote, lakini cha ajabu unatukana watu hapa matusi ya nguoni! Kuwa na adabu mtoto wa kike.
Do your homework; JF kubwa, andika hapo kwemye kutafuta, nyuzi kibao zimo humu kumhusu.
 
Kauli huumba..Matamshi kama haya toka kwa AMIRI JESHI MKUU yanawaoa polisi, TISS, JWTZ ( kwa kiasi kidogo) kuua, kuteka, kuumiza, kupoteza watu.

Ukishasema hutawavumilia watu, interpretation ya polisi in particular and TISS umewachochea kufanya " uhalifu".
Kauli ya upatanishi ndipo ilikuwa mahali pake na si kuwachochea.
View attachment 3563989
Ingelikuwa mimi ningeliwaita wateule wangu na kuwaonya na matamshi ambayo siyo rafiki kwa wananchi.

Lukuvi Alikuwa na matamshi ya KIBURI CHA MADARAKA

Moderators nisaidie maandishi ya kwenye picha yaonekani Maxence Melo
Kwanza muuaji hana moral authority ya kufundisha watu wengine utu!
 
Back
Top Bottom