furniture

  1. N

    INAUZWA Mashine kwa ajili ya fundi aluminium, furniture, welding inauzwa

    Heavy duty compound miter saw, mashine ya kukata aluminium, chuma, mbao, shaba, PVC n.k ● Powerful- 2400W ● Msumeno Inchi 10 ● Ina laser positioning ● Inabend kushoto na kulia 45° ● Inakata upana wa 9cm ● Inaslide urefu 34cm ● inaweza kazi kwa muda mrefu Angalia picha zake na video hapo chini...
  2. T

    Je unatafuta Furniture na mionekano inayolingana na Mtindo wa Nyumba au ofisi Yako?!

    Habari za leo! Ikiwa umewahi kufikiria jinsi nyumba yako inaweza kuwa na muonekano wa kipekee na kuvutia, Afro Eco Wood Designs ndiyo jibu unalotafuta. Tunatoa huduma ya kudesign furniture na muonekano wa maeneo ya nyumba na biashara kwa kutumia mbao , ambapo tunachukua mawazo yako na...
  3. JVM Furniture

    Tunatengeneza furniture quality na za kisasa

    Habari! Tunatengeneza na kuuza furniture mbalimbali za majumbani, ofisini na hoteli. Tunazingatia ubora na finishing nzuri. Karibuni sana. Call/ whatsapp 0628490035
  4. M

    Hello tunatengeneza furniture mbalimbali x

    Hello wanajukwaa niwakaribishe kwetu utapata godoro aina zote pia furniture mbalimbali za kupendezesha nyumba/chumba chako Tuna vitanda Kabati Sofa aina zote Ð
  5. MEGATRONE

    Nahitaji home furniture

    Habari wakuu, Nilikuwa naomba kujuzwa wapi nitapata furniture za nyumbani kama sofa sets, dinning table, coffee table na tv showcase kwei ya kizalendo. Najua huku kuna watu washanunua hivi vitu, hivyo kama kuna sehemu ulinunua ukapewa product nzuri naomba unielekeze na mimi nikapate! Asanteni!
  6. mkolechi

    Nakaribisha mdau kiwanda kidogo Cha furniture

    Natengeneza furniture material block board /melamine board Nakaribsha mbia
  7. mkolechi

    Biashara ya furniture

    Furniture za Bei nzuri hizi hapa
  8. MEGATRONE

    Natafuta furniture kwa bei nzuri

    Habari nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata furniture kwa bei nafuu kidogo! Nimewapigia lifemate wameniambia bei yao inaanza 5m🤣🙌🏽. Naombeni muongozo!
  9. R

    Je, Makonda atakubali kutumia gari na furniture za mtangulizi wake? Au atatafuta wahisani na kodi za umma kununua gari na furniture mpya?

    Nimeona Makonda anaeleza kwamba amenusurika mara tatu kuuwawa; nimeona pia amekataa gari aliyoandaliwa kwenye mapokezi yake. Nimeona ameanza kukataa kupewa viwanja nikajiuliza wakuu wa mikoa waliotangulia upewa viwanja? Na nani ufanya hivyo? Hofu kubwa aliyonayo akihusishwa na uafrika upo...
  10. Girland

    INAUZWA Office furniture for sale, vinauzwa kwa Milioni 3.9

    Ninauza furniture za ofisini, Meza 3 yaani Executive desk 1, Conference table 1 (ya watu 4), na reception table 1, Viti 7, vyote hivi bado viko katika hali nzuri. Pia kuna Curtain blinds mbili, zulia na Partition ya ofisi milango miwili ya Aluminium. Ofisi iko Mnazi mmoja Dar es salaam, vyote...
  11. M

    Tunatengeneza furniture za epoxy na mbao

    Wadau habari, Karibuni kwa biashara Sisi ni mafundi wa furniture ambazo zinatumia material za epoxy/resin zikichanganyika kitaalam na mbao na kuleta mvuto . Tunapatikana maeneo ya makumbusho. Naweka mfano wa baadhi ya furniture mniunge mkono. Karibuni kwa dm tupeane mawasiliano na taarifa...
  12. Collins george

    Tunauza furniture kali za kisasa

    Furniture Safi 0786437672 TV show case ✅Urefu ni fut 5. 5 ✅Bei ni Tsh 280,000 Tunapatikana Manzese, Argentina
  13. rubii

    Furniture, home decors na vyombo vya jikoni

    Heshima zenu wakuu.😊 Habari za wakati huu Karibuni Dollrubii_Decors SIsi ni wauzaji wa HomeDecors kwa bei nafuu zaidi kuliko wote nchini karibu ujione. KWA MAHITAJI YA ♦️FURNITURE ♦️ MAUA NA MAPAMBO YA NDANI ♦️PAZIA ♦️KITCHENWARE TUNATUMA MIKOA YOTE🇹🇿 WHTAP|📞 0699306065 FREE DELIVERY DAR...
  14. mirindimo

    Kiwanda cha furniture katikati ya makazi kwa Aziz Ally kinawaka moto

    - Raia wamesimama nje bila msaada wakisubiri hatma na huruma ya moto. Kuna haja ya kuondoa hivi viwanda vikubwa kwenye makazi. Kue na point za zimamoto mahali ambapo kuna makazi ya raia ila hizi pointi ziwe na maji pia Tuandae raia kuyakabili majanga kama moto , mafuriko n.k UPDATE Fire...
  15. F

    Niunganisheni nawateja wa furniture

    Habarini ndugu zangu Mimi na kaka angu tunatengeneza furniture zote za ndani tupo Yombo Temeke tatizo ni kupta wateja naomba mniunganishe kwa wateja au MTU ambaye naweza ongea nae tukawa tunatengeneza yeye anauza tukaingia nae ubia nicheki kwa 0742962846 kwa mawasiliano zaidi.
  16. F

    House4Rent Vyumba vyenye furniture ndani vinapangishwa Ubungo Riverside. Vinafaa sana wanachuo wanaofanya Field Dar es Salaam ama wanaosoma vyuo mbalimbali

    Habari wadau. Vyumba vizuri vyenye furniture zake ndani vinapangishwa Ubungo Riverside. Vyumba hivi vina kitanda 5 x 6 na godoro, meza za kusomea, sehemu za kuwekea vitabu ama vitu Vyumba hivi vinawafaa sana wanachuo wanaosoma vyuo mbali mbali ambao wanafanya field Dar kipindi hiki...
  17. T

    Tender Advertisement: Supply of Student Desks, Chairs & Metal Lockers for The School of St Jude

    Do you have experience in manufacturing/fabricating school furniture? Are you passionate in seeing people enhancing productivity due to the quality of your furniture? Interested parties are hereby invited to tender for the supply of the following; “The supply of students’ desks, chairs, and...
Back
Top Bottom