Jamani ndugu zangu, wenye makampuni, viwanda au wenye ndugu, marafiki na wadau.
Naomba kazi hata ya kujitolea nipate angalau experience ya kazi.. Nipo tayari kujitolea jamani, maana nikienda directly kuomba kazi na kupereka Cv narudishwa punde tu nikifika mapokezi, naambiwa nafasi hazipo hapa...