fursa uwekezaji tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Nimegundua watu wengi wanaonunua maeneo na majengo ya kuanzia Tsh 500M mpaka 5B hapa jijini Dar, wengi wao wana umri wa kuanzia miaka 50. Ni nadra kukuta kijana wa miaka 30 ananunua viwanja vya bei hiyo. Swali langu ni: Uwekezaji wao utarudi baada ya miaka mingapi, hapo achana na kupata faida...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Tatu (3) barani Afrika kwa nchi zenye Fursa kwa Wawekezaji wa siku za usoni

    Miongoni mwa nchi zinazoongoza kusini mwa jangwa la Sahara ni Tanzania na mji wake mkuu wa kibiashara, Dar es Salaam, zimepata nafasi muhimu katika ramani ya uwekezaji duniani kwa kuwa nafasi ya 3 katika miji mizuri kuwekeza Afrika. Ripoti ya hivi karibuni kutoka KPMG, "Doing Deals in...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…