Wanawake wamefurika katika chuo cha Veta Chato Mkoani Geita, wakichangamkia progaramu iliyotolewa na Rais wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan iliyo na lengo la kukuza ujuzi kwao na waweze kujikomboa kiuchumi.
Ni katika Chuo cha Veta cha Chato Mkoani Geita, na hapa ni sehemu ambayo...