Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wanawake wamefurika katika chuo cha Veta Chato Mkoani Geita, wakichangamkia progaramu iliyotolewa na Rais wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan iliyo na lengo la kukuza ujuzi kwao na waweze kujikomboa kiuchumi.
Ni katika Chuo cha Veta cha Chato Mkoani Geita, na hapa ni sehemu ambayo wanawake pamoja na mabinti wameshaanza kujifunza fani za ushonaji, ufundi bomba, uchakataji wa samaki ili wasiharibike kwa muda mrefu na fani mbalimbali kupitia program inayofadhiliwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
Lengo la programu hii ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha wanawake wanainuka kiuchumi baada ya kupata ujuzi kutoka chuoni hapa na kwenda kuutumia katika shughuli zao mitaani.