Mko poa wakuu
Nmepata wazo nimeona niwape mumpelekee mama au watu wake wa karibu..
Njooni na iftari ya FTURU NA MAMA..
Hii iwe km give back tu commonly..
Ifanyike kwny chungu cha 28 au 29.
Wahusika wa iftari hii wawe watu wenye uhitaji maalumu km yatima, walemavu wasiojiweza kiuchumi, na...
Juzi Rais alialika wasanii (chawa?) wakajumuike nae Ikulu kwa ajili ya kupata futari ya mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao ndio ilikua chungu cha kwanza, jambo jema!
Baada ya hapo taharuki kuu imejitokeza baada ya picha ya Rais Samia akikatiza mbele ya wauza madafu wawili ambao walikua wamesimama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.