Mke wa Rais wa Zanzibar na Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe. Mama Mariam Mwinyi leo tarehe 18 Machi, 2024 amekabidhi Sadaka ya futari kwa makundi maalum wakiwemo watoto Yatima, Wazee.
Sadaka hiyo imegaiwa na Naibu Waziri wa Maendeleo...