futari

  1. Mohamed Said

    Futari na Futuru na Balozi Ramadhani Dau na Wenzake wa Yanga Kids 1970s

    FUTARI NA FUTURU NA BALOZI DR. RAMADHANI DAU NA YANGA KIDS WATOTO WADOGO WALIONG’ARISHA SOKA LA TANZANIA MIAKA YA 1970 Kuna mshairi alikuwa anatunga shairi na mwanzo wa ubeti akajiuliza, ‘’Wapi ninaanza kueleza historia hii?’’ Akaendelea kuandika, ‘’Wapi ninaanza kueleza historia hii, historia...
  2. Suley2019

    Ikulu: Rais Samia na viongozi mbalimbali wakati wa futari leo Machi 30, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris wakati akiwasili kwa ajili ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na...
  3. Etugrul Bey

    Dhana nzima ya Futari na Daku

    Kuna post moja nimeiyona ingawa ilikuwa inazungumzia kwaresma lakini mwandishi wa post hiyo alikuwa na lengo la kukashifu dhana nzima ya Futari na Daku. Kwake yeye Kwa mujibu wa Imani yao wanakula chakula chochote kile tofauti na watu wa Imani nyingine ambayo pasina kuficha na Imani hii ni...
  4. L

    Wasafi Media waandaa futari Bungeni

    Jamii yetu inapotosha maana ya kuandaa na kutoa futari ktk jamii. Kwa kawaida futari inabidi itolewe kwa Waislam waliofunga wasiojiweza. Leo unasikia futari inaandaliwa kwa matajiri wenye uwezo huku wakiachwa masikini wahitaji. Mathalani jana Wasafi Media imefuturisha bungeni Dodoma huu ni...
  5. M

    Wabunge Kushangilia Bungeni kupewa Futari ya bure na CRDB je, kwa wenye Akili Watanzania wote tunaonekana vipi?

    CRDB mnatoaje Futari ya bure kwa Wabunge ambao tayari wana Posho ya zaidi ya Shilingi 350,000/= kwa Siku badala ya Kusaidia Makundi ya Watu wengi wenye Mahitaji hasa kwa Kipindi hiki na hata katika Maisha yao ya Kiujumla? Kilichonishangaza zaidi ni Kitendo cha Wabunge kutangaziwa na Spika wa...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    FUTARI akipika mwanamke ambaye haujamuoa na mnaishi pamoja ni dhambi, ila FUTARI ya mitaani ni halali bila kujali amepika nani

    Habari! Nawakumbusha tu Waislamu wenzangu kuwa tusifuturu kwa FUTARI walizopika vimada wetu hasa tunaoishi nao pamoja. Haijalishi tumezaa nao watoto wangapi, au tumeishi nao kwa miaka mingapi.
  7. J

    Profesa Janabi: Ulaji futari nyingi huchochea mshtuko wa moyo

    Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo Prof Janabi amesema kula futari nyingi wakati wa magharibi kunasababisha mshtuko wa moyo. -- Katika mwezi huu wa Ramadhan familia nyingi nchini na duniani kwa jumla kuna nchi ambazo raia wake wanafunga saumu hii tukufu kama nguzo moja kati ya tano za kiislaam...
Back
Top Bottom