g wagon

  1. GoldDhahabu

    Mercedes Benz G Wagon lina upekee gani?

    Naomba kujuzwa! Japo sivutiwi na mwonekano wa nje wa gari tajwa, linaonekana lina upekee usio wa kawaida. Bei yake ipo juu sana. Ningekuwa na ndugu au rafiki mwenye nalo, ningeomba alau lifti ili niujue uzuri wake halisi. Lazima lina upekee unaolifanya liwe ghali sana kuliko magari mengine...
  2. U

    Soka inalipa: Mchezaji Aziz Ki ana gari la gharama kubwa, million 500

    Wadau hamjamboni nyote? ... 💰 𝗦𝗢𝗞𝗔 𝗟𝗜𝗡𝗔𝗟𝗜𝗣𝗔 Mercedes Benz G- Wagon 63 AMG (White) ndiyo ndinga mpya ya Aziz Ki. 💰 Zero kilometer inafika mpaka Tsh 500+ million. Used inacheza Tsh 400+ million. Features zake : ◉ Full-option ›› Alloy Wheel, Sensors Camera, Bluetooth, Cruise Control, Sun Roof...
Back
Top Bottom