g20

  1. L

    Kutoka G20 hadi APEC, China yatoa mipango yake juu ya maendeleo na usalama ya dunia

    Kuanzia tarehe 14 hadi 19 Novemba 2022, Rais Xi Jinping wa China alihudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kundi la G20 (G20) kisiwani Bali, Indonesia, na Mkutano wa Viongozi wa Kibiashara wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia na Pasifiki (APEC) mjini Bangkok, Thailand. Katika siku hizi...
  2. L

    China yatoa wito wa kufanywa juhudi za kupunguza pengo la kidigitali

    Katika zama za leo, ukubwa wa uchumi wa kidijitali unaendelea kupanuka. Mwaka 2022, mchango wa teknolojia ya kidijitali kwa uchumi wa dunia unatarajiwa kufikia 60%. Hata hivyo, bado kuna pengo kubwa la kidijitali kati ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea. Alipotoa hotuba kwenye mkutano wa 17...
Back
Top Bottom