Gardner G. Habash alizaliwa mwaka 1973 kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na kazi yake ya utangazaji, pia alikuwa mume wa mwimbaji maarufu Tanzania, Lady Jaydee.
Katika maisha yake, Gardner alianza utangazaji wa redio akiwa Clouds FM, kisha aliondoka na kujiunga na Times FM alikotangaza kipindi cha Masikani. Safari yake ya utangazaji iliendelea alipohamia E FM na kuanzisha kipindi cha Ubaoni, kabla ya kurejea Clouds FM mwaka 2016.
Gardner alifariki dunia alfajiri ya Aprili 20, 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokuwa akipatiwa matibabu kutokana na tatizo la shinikizo la damu.
Hivi marehemu Gadner G Habashi alikua namtoto mmoja tu ambae ni malkia Caren? Naulizia hivi kwa maana ndie anaepewa pole pekee kila mahali hasa kupitia mitandao ya kijamii.
Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG
Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM.
Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa...
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na...
Katika kipindi cha Power Breakfast kilicho na muundo mpya Leo hii, mtangazaji maarufu Gardner Habash aliyekuwa ametengana na mke wake mwanamuziki maarufu komando Lady J D amemuomba mtalaka wake huyo kurudisha moyo na kurudi nyumbani ili awe anampikia chai asubuhi.
Pamoja na kuachana kwao kwa...
Habarini za muda huu wadau..Nimekua nikifatilia matangazo mengi sana ya Redio na Tv hapa Bongo especially Clouds FM na TV.
Clouds FM haiwezi kupita siku bila kuskia tangazo la Phillip Mwihava,Gadner G.Habash na Antonio Nugaz.
Antonio Nugaz(Mtembezi)anae'run kipindi cha Kambi popote pale Clouds...
Kwa wapenzi nguli wa kipindi pendwa cha mazungumzo ya jioni redioni cha JAHAZI katika redio MAWINGU FM watakubaliana nami kwamba muunganiko wa watangazaji hao watatu niliowataja ulifanya kipindi hiki kunoga...sasa kuondoka duniani kwa Kibonde tayari kumeleta Pengo kubwa sana kwenye kipindi...
Kila nikiusikiliza wimbo wa Ndindindi wa Jaydee naona ni matusi matupu kwa Gadner, maana kuna maneno mengi ya kuudhi mara kichaa hawezi kupona n.k. Wadau kwa hili jamaa hawezi kufungua hata kesi ya madai kwa defirmation?.
Popular Female Singer in EA Lady Jay Dee and Popular Presenter in Tanzania Gadner Habbash who were used to be wife and husband those days,before things went wrong....finally they met and shake hands in Kibonde's wife burial ceremony yesterday july 13....kwa hii picha inaleta tafsiri nyingi sana...
Sio siri mimi ni msikilizaji mkubwa na wa kudumu wa Clouds Fm na hususan vipindi vya Power Breakfast, Jahazi na kile cha michezo. Ni mshabiki pia wa watangazaji kama Masoud Kipanya, Ephraim Kibonde na Gadner Habash.
Nimekuwa nikipenda utangazaji wa Gadner kitambo sana toka enzi zile anatangaza...
Habari toka jikoni zinathibitisha kuwa ile land rover discovery aliyopewa kama package ya kujiunga clouds media, amepata nayo ajali akiwa kalewa chakali.
Kwa bahati nzuri gari ilikuwa na bima kubwa sema Gadner alikuwa ameshaikopea sehemu. So kampuni ya bima inahangaika kumlipa mkopeshaji (kwa...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kabla hamjaanza ooh wewe mtetezi wa wanawake inakuwaje naomba nitoe kauli "SIFURAHII WALA SIUNGI MKONO ALICHOKISEMA CAPTAIN HATA NUKTA ila pamoja na yote ukiacha huko ulimi kumteleza mimi in the all sagger...
Tarehe Moja Nilipoandika UZI Humu TENA Nikijiamini Kabisa Kama Kawaida Yangu Wapo Walionijibu Kwa KUNITUSI, KUNIKEBEHI Na Hadi KUNIDHALILISHA Na Bahati Nzuri Sana Hata Posts Zao Zipo Katika Ule UZI Kuwa Gadner G. Habash Anarudi Rasmi Clouds Media Group Nikimaanisha Kuwa Mtangazaji Wa Clouds FM...
MKONGWE wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide, amefunguka kuwa katika wimbo wake mpya wa Ndindindi, hajampiga kijembe aliyekuwa mumewe, Mtangazaji Gardner G. Habash kama wengi wanavyodhani.
[http://www]
Jide na aliyekuwa mumewe, Gardner
Akizungumza na mwanahabari wetu, Jide...
Hawa WATANGAZAJI WAWILI Nani Kati Yao Unadhani ANA UWEZO MKUBWA WA KUTANGAZA Na KUWA NA MVUTO MKUBWA KWA WASIKILIZAJI? Na Nini au Zipi Ni Tofauti Zao KIUWEZO? Yupi Unadhani ANAKUBALIKA Na Yupi HAKUBALIKI? Atakayetajwa Hapa Sana Kuwa Ni Bora Zaidi Ya Mwenzake Ndiyo Nitampa TENDA Ya Kutengeneza...
HALI tete ! Bado vuguvugu la madai ya kuvunjika kwa ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash Kapteni na Mbongo Fleva , Judith Daines
Wambura Mbibo Lady Jaydee au Jide , sasa lingine limeibuka ambapo mali za wawili hao zinatajwa kuzua utata , Risasi Jumamosi...
Mtangazaji mahiri Gardner.G. Habash,amejiunga na kituo cha Radio kinachokuja kwa kasi hivi sasa EFM 93.7 cha jijini Dsm ili kuongeza nguvu katika kikosi chao.
Akizungumza leo na waandishi wa habari afisa habari wa EFM Kanky Mwaigomole amesema wameamua kumchukua Gardner kwasababu ni miongoni...
Wakati akiongea katika mahojiano maalum kuhusu kutimiza miaka miwili ya kipindi chake cha Maskani kinachorushwa na 100.5 Times. Leo asubuhi akijibu maswali ya Mc Pililpili aliyekuwa mmoja wa waendesha kipindi cha Sunrise.
Gadner alifunguka na kusema yeye na Jide hawana tatizo lolote na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.