Gardner G. Habash alizaliwa mwaka 1973 kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na kazi yake ya utangazaji, pia alikuwa mume wa mwimbaji maarufu Tanzania, Lady Jaydee.
Katika maisha yake, Gardner alianza utangazaji wa redio akiwa Clouds FM, kisha aliondoka na kujiunga na Times FM alikotangaza kipindi cha Masikani. Safari yake ya utangazaji iliendelea alipohamia E FM na kuanzisha kipindi cha Ubaoni, kabla ya kurejea Clouds FM mwaka 2016.
Gardner alifariki dunia alfajiri ya Aprili 20, 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokuwa akipatiwa matibabu kutokana na tatizo la shinikizo la damu.
Mhhhh wamependeza sana sana kwanza napenda kuwapa hongera baada ya hapo nimeshangaa mmejitahidi kuelzea vyakula mlivyokuta na picha za menu...mbona hamjawahi kupiga picha zile pweza za feri jamani na umuhimu wake katika jamii hamuoni mnatangaza soko la watu wakati kwenu wanakimbia....haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.