Gardner G. Habash alizaliwa mwaka 1973 kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na kazi yake ya utangazaji, pia alikuwa mume wa mwimbaji maarufu Tanzania, Lady Jaydee.
Katika maisha yake, Gardner alianza utangazaji wa redio akiwa Clouds FM, kisha aliondoka na kujiunga na Times FM alikotangaza kipindi cha Masikani. Safari yake ya utangazaji iliendelea alipohamia E FM na kuanzisha kipindi cha Ubaoni, kabla ya kurejea Clouds FM mwaka 2016.
Gardner alifariki dunia alfajiri ya Aprili 20, 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokuwa akipatiwa matibabu kutokana na tatizo la shinikizo la damu.
Hawa WATANGAZAJI WAWILI Nani Kati Yao Unadhani ANA UWEZO MKUBWA WA KUTANGAZA Na KUWA NA MVUTO MKUBWA KWA WASIKILIZAJI? Na Nini au Zipi Ni Tofauti Zao KIUWEZO? Yupi Unadhani ANAKUBALIKA Na Yupi HAKUBALIKI? Atakayetajwa Hapa Sana Kuwa Ni Bora Zaidi Ya Mwenzake Ndiyo Nitampa TENDA Ya Kutengeneza...
HALI tete ! Bado vuguvugu la madai ya kuvunjika kwa ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash Kapteni na Mbongo Fleva , Judith Daines
Wambura Mbibo Lady Jaydee au Jide , sasa lingine limeibuka ambapo mali za wawili hao zinatajwa kuzua utata , Risasi Jumamosi...
Mtangazaji mahiri Gardner.G. Habash,amejiunga na kituo cha Radio kinachokuja kwa kasi hivi sasa EFM 93.7 cha jijini Dsm ili kuongeza nguvu katika kikosi chao.
Akizungumza leo na waandishi wa habari afisa habari wa EFM Kanky Mwaigomole amesema wameamua kumchukua Gardner kwasababu ni miongoni...
Wakati akiongea katika mahojiano maalum kuhusu kutimiza miaka miwili ya kipindi chake cha Maskani kinachorushwa na 100.5 Times. Leo asubuhi akijibu maswali ya Mc Pililpili aliyekuwa mmoja wa waendesha kipindi cha Sunrise.
Gadner alifunguka na kusema yeye na Jide hawana tatizo lolote na...
Huyu jamaa alikua kwenye kipindi cha maskani cha Times FM sasa hivi simsikii tena maana nilisafiri kikazi mkoa na uko mkoa Times hamna mwenye data hebu atujuze wajameni.
Mhhhh wamependeza sana sana kwanza napenda kuwapa hongera baada ya hapo nimeshangaa mmejitahidi kuelzea vyakula mlivyokuta na picha za menu...mbona hamjawahi kupiga picha zile pweza za feri jamani na umuhimu wake katika jamii hamuoni mnatangaza soko la watu wakati kwenu wanakimbia....haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.