gamondi

Miguel Ángel Gamondi (born 1 December 1963) is an Argentine football manager and former player who manages Tanzanian club Young Africans.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Kama sio hujuma za kina Gamondi, Yanga ingekuwa top two kwenye kundi lake

    Yanga iliyumba kwa hujuma tu. Hii ndio ndio Yanga na walipaswa kuwa vinara wa kundi. Tunawaombea wazidi kufanya maajabu, kazi iliyombele Yao sio ya kitoto.
  2. Rais wa Raja Athletic afanya mazungumzo Miguel Ángel Gamondi

    Rais wa klabu ya Raja Club Athletic amekutana mara mbili na kocha mwenye uzoefu wa Argentina, Miguel Ángel Gamondi, ambaye kwa sasa anaonekana kuwa chaguo bora zaidi kwa nafasi ya kocha mkuu wa timu hiyo. Hata hivyo, bado hawajafikia makubaliano rasmi kutokana na baadhi ya masharti ambayo...
  3. SI KWELI Gamondi amesema hakuwa tatizo pale Yanga na ikiendelea kucheza kama ilivyocheza dhidi ya MC Alger haitafika robo fainali

    Salaam wanajamvi, heri ya siku ya uhuru watanzania wenzangu!! Kuna hii taarifa nimekutana nayo kwamba Gamondi amesema, "Sasa Mmejua kwamba Sikuwa Tatizo pale Yanga SC, Kama mkiendelea kucheza kama Juzi hamfiki Robo Fainali Msimu Huu" hivi kweli huyu mzee anaweza kusema hivi?
  4. Kiukweli kabisa hii wala sio timu yetu. Timu yetu ameondoka nayo Gamondi

    Tulitegemea kuwa na msimu mzuri sana kwenye CL mwaka huu ila viongozi wameuharibu kwa sababu wanazozijua wao.
  5. Gamondi anapenda mambo ya Kiswahili

    Sikuile tumepigwa 2 na wale wa Sudan, yeye akapost kutuaga na kuonesha kuwa anaikubali sana Yanga. Leo saa chache kabla ya mchezo kaposti eti anacheza golf ila ukiangalia kwa makini nikama anacheka na ukitumia jicho la kiroho ni kama anamzomea mtu. Namsihi master Gamond asipost tena mpaka...
  6. F

    Uwamuzi wa kumfukuza Miguel Gamondi ulikuwa wa kukurupuka!

    Watanzania ni watu ajabu ajabu sana! Hatuna uvumilivu ,ni watu wa papara, majungu na fitina sana! Kufungwa mechi mbili tu unamfukuza Kocha! Manara naye mtu wa fitina na Unafiki sana! Kisa Gamondi asalimiani naye , wamefanya fitina Hadi wakamfukuza. Mnamfukuza Kocha aliyekwisha Jenga kikosi...
  7. T

    Laana ya Gamondi yaanza kumtafuna Eng. Hersi

    Tayari laana za Muargentina zimeanza kuwatafuna jamaa wa Jangwani. Kuchamba Sana mwisho utaondoka na kinyesi ndio Labda imekuwa hivyo?
  8. Wale wafuasi wa Gamondi hatuwataki kuwaona wakijipendekeza timu ikifanya vizuri kwenye mashindano

    Kuna watu wamekuwa wakijifanya wapenzi wa Gamondi utafikiri walikuwa wanamjua huyo Gamondi kabla ya Hersi kumleta Yanga. Yaani anajifanya kususa timu kisa tu uongozi kuachana na Gamondi na kuwatoa akili viongozi. Hawa watu wamfuate Gamondi huko anakoenda na wawe mashabiki wa hizo timu badala ya...
  9. Tetesi: Miguel Gamondi atajwa kutua Singida Big Stars kurithi mikoba ya Patrick Aussems aliyefurushwa

    Klabu ya Singida Black Stars imewasimamisha makocha wake wawili, Patrick Aussems na msaidizi wake Dennis Kitambi kutokana na matokeo mabaya, huku ikidaiwa kumwania Miguel Gamondi aliyeachana na Yanga hivi karibuni. Leo asubuhi Singida ilitoka sare ya mabao 2-2 na Tabora United kwenye Uwanja wa...
  10. Uongozi wa Yanga ulimharibu Gamondi wenyewe, haribuni na huyu

    Team working (kufanyakazi kwa pamoja) hakumaanishi kusogeleana sana kimwili kati ya viongozi na watumishi wake, bali ni kiongozi kufanya na kuwepo pale unapohitajika kuwepo kwa wakati na wale wanaokuhitaji na kufanya Yale unayopaswa kufanya kwenye taasisi kwa wakati. Viongozi wa Yanga walikuwa...
  11. M

    Kufukuzwa kwa Miguel Gamondi : Natangaza waziwazi kurudisha kadi yangu ya Uwanachama wa Young Africans

    Uzi usiwe mreeeeefu. Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga. Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia...
  12. Siku 511 za ubabe wa Gamondi kwa Simba

    Baada ya kuitumikia Yanga kwa siku 511, kocha Miguel Gamondi leo Novemba 15, 2024 ameonyeshwa mlango wa kutokea kwa kile kinachoonekana ni uongozi wa Yanga kutoridhishwa na mwenendo wa timu msimu huu hasa baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu dhidi ya Azam FC na Tabora hivi...
  13. Kumbe Kufungwa na Azam, Tabora sio sababu kutimuliwa Gamondi, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Yanga afunguka

    Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga Alexander Ngai amesema maamuzi ya klabu hiyo kuachana na kocha Miguel Gamondi hayajatokana na matokeo ya kupoteza mara mbili mfululizo dhidi ya Azam na Tabora United. Ngai amesema Kuna sababu nyingi zilizowapelekea kuchukua maamuzi hayo huku akigoma...
  14. Kufukuzwa kwa Gamondi shida ilianzia kuibukia kwenye mkutano mkuu wa Yanga na kutangazwa akitokea Club kula Bata

    Mapema mwezi Juni Yanga walifanya Mkutano Mkuu na hapo ndipo walimtangaza Miguel Ángel Gamondi kuwa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja na kutokana na mafanikio yake na Wananchi ya msimu wa 2023/24 basi walikuja na msemo wa "TABU IKO PALE PALE" kutokana kuwatesa sana Watani zao Simba SC. Soma...
  15. Tetesi: Gamondi atishia kuitisha Press kabla hajaondoka,kusema yale yasiyojulikana,nchi itatikisika

    Ubaya ubwela,kama mbwai mbwai tu,ukimwaga mbiga namwaga ugali, ndivyo unavyoweza kusema. Kocha wa dunia Miguel Gamondi ametishia kuitisha press na kusema yale yasiyojulikana. GSM fanyeni mnaloweza kumzuia huyu asiropoke,nchi inaweza kuzizima.
  16. E

    Kuna uwezekano kilichomtoa Gamondi pale Yanga ni kutoamini katika Uchawi na Majini, Inahuzunisha sana

    Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi. Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
  17. Huku akiwa ameshafungashiwa virago, Bodi ya Ligi Kuu yamfungia Gamondi michezo 3 na kumpiga faini

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Novemba 14, 2024 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo; Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Young Africans, Miguel Gamondi amefungiwa michezo mitatu (3) na...
  18. Takwimu za Miguel Gamondi akiwa Yanga

    Wakuu mpo Mimi ni mmoja wa walioshtushwa na kufukuzwa kwa Miguel Gamondi pale Yanga. Inawezekana yapo nyuma ya pazia tusioyajua, ila naomba tudondoshe takwimu ambazo Yanga watamkumbuka Gamondi. Makombe 🏆 1X NBC Premier league 🏆🏆2X FA Cup 🏆 1X Community shield 🏆 1X Toyota Cup Ushindi wa 5-1 Vs...
  19. T

    Aibu kwa Yanga kufukuza Kocha kisa kichapo kutoka kwa Tabora United

    Kwa historia ya wababe hawa wawili wa mpira Tanzania yaani Simba na Yanga haijawai kutokea wala kufikirika Kwa Kocha kufukuza na wala ukosefu wa Amani klabuni iwapo Timu ikipoteza mechi na Timu ndogo Kama Tabora United. Tumezoea songombingo iwapo mmoja kapoteza kwa pacha wake, lakini ili la...
  20. Sead Ramovic kutua Yanga akichukua nafasi ya Gamondi

    Sead Ramovic ni kocha wa Kijerumani ambaye anatajwa kwa nafasi kubwa kama mrithi wa Miguel Gamondi aliyefurushwa mapema leo. Ramovic alikuwa anakinoa kikosi cha TS Galaxy kinachoshiriki Ligi Kuu ya Betway pale Afrika Kusini kuanzia mwaka 2021 -2024. TS Galaxy inashika mkia katika msimamo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…