gamondi

Miguel Ángel Gamondi (born 1 December 1963) is an Argentine football manager and former player who manages Tanzanian club Young Africans.

View More On Wikipedia.org
  1. UMUGHAKA

    Gamondi kesho ukiendelea kusikiliza Hip Hop na kutupilia mbali wabana pua,Tabora atakuchezesha amapiano

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nadhani kama ni kushauri nimeshauri sana!,sijajua kama viongozi wangu wa timu pendwa Afrika Kwa Sasa ya Yanga huwa wanapata wasaa wa kupita huku JF na kuokota chochote kitu kutoka Kwa wadau ili kumfikisha Gamondi kichwa kigumu Yale yote tunayotaka...
  2. UMUGHAKA

    Gamondi ashauriwe aache kiburi na chuki binafsi kwa Wachezaji!

    Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kumekuwa na tabia ya mashabiki hoya hoya wa Yanga ambao wengine tunapojaribu kutoa ushauri nini kifanyike wamekuwa wakitishambulia! Ni shabiki mjinga na mwehu pekee ambaye anaona Yanga ya Msimu huu inacheza vizuri kuliko ya msimu uliopita! Binafsi...
  3. Waufukweni

    Gamondi hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex

    Kocha wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi leo katika mkutano na Waandishi wa Habari ametamka wazi kwa mara nyingine kuwa hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex bali Uwanja pekee anaofurahia ni Benjamini Mkapa. Ikumbukwe kesho ni mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam katika Uwanja wa Chamanzi...
  4. LIKUD

    Leo Bwana Gamondi " Mizimu yake ya Kitaliano" imepanda Kichwani

    Waitaliano ni moja kati ya watu wenye akili nyingi sana. Ni jamii ya watu wa kale walio staarabika tangu enzi na enzi. I put them in the same space as the Ancient Egyptians, Ancient Greeks and Ancient Mesopotamia. ( They are the descendants od the citizens of Ancient Rome) Moja kati ya...
  5. Labani og

    Gamondi: Simba Wana ndoto kubwa ya kuifunga Yanga

    "Simba Sc wana ndoto ya kutufunga ili wafurahi sie tunataka kuwafunga ili tuwe mabingwa hiyo ndio tofauti" - Gamondi #FutbalPlanetUpdates
  6. NALIA NGWENA

    Kocha Miguel Gamondi tayari kajaa kwenye mfumo wa viongozi wa Yanga Sc kwa kumpa dakika za kutosha Chama mbele ya Pacome

    Naam wanajukwaa, Goli alilofunga Aziz K dhidi ya CBE na kutoshangilia lilikua na maana kubwa sana tena sana na hilo goli alifunga akitokea Sub baada ya Chama kutoka. labda kuna mashabiki watakua wanauliza hiyo ina maana gani kiukweli Azizi k hakua na Furaha kutokea bench na ndiyo maana ufungaji...
  7. Metronidazole 400mg

    Nayaona Maisha ya Gamondi Yanga kuwa mafupi sana

    Kocha wa ken Gold kafungua njia kwa makocha wengi kimfumo namna ya kucheza na Yanga, ni vile Hana wachezaji sahihi wa kutekeleza TU ( alichosema kwenye press preMatch na Imani makocha wengi wataanzia hapo ) Nilishawahi kusema aina ya mpira ambao Kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anafundisha ni...
  8. GENTAMYCINE

    Mwambieni Jean Othos Baleke aje haraka sana atuombe Msamaha Simba SC, akikaidi Kocha Gamondi ataendelea Kumkandia aione Tanzania Chungu

    "Nitakuwa ni Kocha wa ajabu niache Kuwapanga akina Dube na Mzize ambao wananionyesha bidii kubwa kuanzia Mazoezini na hata katika kila Mechi ambazo huwa nawapanga halafu nimpange Baleke ambaye hata nikimpa tu nafasi kwa dakika chache hakuna anachonipa" amesema Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel...
  9. Pdidy

    Gamondi anapoelekea kuna siku atampanga RAISI WA yanga Eng kha

    Yaan ya jana yanafurahisha sana Nakumbushwa KHALID AUCHO hajacheza hata dakika moja leo hii, navutwa shati kuwa BAKARI NONDO hakuwepo hata sub leo hii, naambiwa STEPHEN AZIZ KI ametokea benchi na ameweka mbili, nakumbushwa DUKE ABUYA ametokea bench ameweka kambani. Uhuni ni nini? Ni...
  10. M

    Gamondi hamna kitu ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!

    Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa Yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
  11. M

    Kocha Gamondi atafutiwe kocha msaidizi mzawa

    Nikiwa kama mdau na mshabiki wa soka la Tanzania, nami nimewiwa kuchangia hili kwa maendeleo endelevu ya soka la klabu ya Yanga na Taifa kwa ujumla Nashauri klabu ya Yanga ilete kocha kijana mzawa awe kwenye jopo/benchi la ufundi la kocha wa timu ya Yanga( Dar Young African FC). Hii ni...
  12. MwananchiOG

    GAMONDI : Kazi yako ni kusambaza upendo CHAMA: imeisha hiyo boss

    Kwa sasa kikosi cha Yanga kimekamilika mno kiasi kwamba kama kitaweza kutumia efficiency yake walau kwa 70% basi hata vilabu vingine vilivyotwaa ubingwa wa Afrika kama Al ahly, Wydad, Raja n.k vitapata taabu sana. Ubora wa wachezaji wa Yanga ni wa hali ya juu sana. Tukizungumzia utatu wa pale...
  13. Mkalukungone mwamba

    Gamondi leo afanye umafia huu kwa Vital'O, atumie mfumo wa 4-3-3

    Klabu ya Yanga leo itatupa karata yake ya kwanza katika michuano ya Caf Champions ligi dhidi ya Vital'O ya Burudi mchezo ambao utachezwa katika dimba la Azam Complex Chamazi saa 10 kamili jioni. Kocha mkuu wa Yanga Migeul Gamondi amesema wapo tayari kwa mchezo huo na atafanya kila jambo zuri...
  14. SAYVILLE

    Gamondi ameonyesha kuiogopa Simba

    Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie...
  15. Mkalukungone mwamba

    Kocha Gamondi: Hatuwajui sana Simba mpya na hawajacheza mechi za wazi kama sisi

    Tuko vizuri na tunafuraha ya kuanza msimu mpya kwasasa tuko vizuri. Hatuwajui sana Simba na hawajacheza mechi za wazi kama sisi. Ni kweli huwa natengeneza timu kuangalia sisi zaidi na sehemu ndogo ya wapinzani lakini hakuna siri katika mpira tutachozingatia ni kutofanya makosa na wala hakuna...
  16. Mkalukungone mwamba

    Kocha Gamondi abeba tuzo ya kocha bora wa msimu 2023 /2024

    Kocha mkuu wa Yanga SC Migeul Gamondi amekuwa kocha bora wa msimu wa 2023/2024
  17. D

    Gamondi kagombana na kocha physio Yusuph

    Gamondi history Kila team anayofukuzwa is due to his harsh mentality, anataka vitu vyake viende atakavyo, in short ni mkali Sana. akiingia kwenye team lazima afanye atibue kwanza vitu. In short wamegombana na yusuph na Yusuph anaondoka 😂#bingwa wa kumsagia kunguni gamondi hadi aamie simba.
Back
Top Bottom