Klabu ya Yanga SC iko mbioni kuingia kwenye ukurasa mpya wa kikosi chake baada ya taarifa kuibuka kuwa baadhi ya nyota wake wakongwe na mahiri kama Khalid Aucho, Jonas Mkude, na Clatous Chama huenda wakaondoka mwisho wa msimu huu.
Kwa mujibu wa ripoti kutoka vyanzo vya ndani ya klabu pamoja na...
Habari wana JF
Kwa anaejua au mwenyewe uelewa juu ya Gharama za kujenga frame ndogo kwaajili ya biashara. Kwa kutumia mbao laini anisaidie ufafanuzi tafadhar.
Karibuni...
Muda wa kusogea sogea kwenye viwanja unakaribia; vijana wa zamani wanaita muda wa kwenda kuamsha popo.
Ni muhimu kujipongeza kidogo pale panapo wezekana, na si kila siku kuwa bize kwenye utafutaji, kwa sababu maisha ni haya haya.
Bajeti yangu kwa leo ni finyu sana, kwa hiyo wale warembo...
Kila mtu ana tabia ambayo hata yeye mwenyewe haipendi lakini anajikuta anaitenda wakati mwingine bila hata kupenda.
Kwa upande wangu mimi nina hasira kali mno, yani mtu akinikwaza natamani nimmeze mzima mzima, Huwa namuomba Mungu wanangu wasirithi tabia hii, kwa sababu waswahili walisema hasira...
Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia
Au nifungue kiwanda Gani kidogo
Mimi nililelewa na bibi na baba yetu ndo alikuwa anaprovide for the family. Kwa bahati mbaya baba akafariki nikiwa form 1 na bibi alikuwa mzee na hajishughulishi na chochote. Ili nipate msaada wa vitu vya shule ilinibidi niende kwa ndugu wa baba kuomba msaada ili niweze kwenda shule.
Nikafika...
Nchi kama Canada, Australia bubai, Scotland sweezeland Poland nk
Ni fani gani ambazo naweza kuzipata veta alafu niluke nje ya nchi kutafuta kipato.
Nina shahada ya maendeleo ya jamii.
Karibuni kwa mawazo yetu mazuri.
Watoto Kuwatii Wazazi kwa Namna Gani
Maandiko Yanasemaje
1. Katika Wakolosai 3:20, maandiko yanasema: "Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika Bwana".
2. Lakini katika Luka 14:26, Yesu alisema: "Kama mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na...
Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea.
Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya;-
Kati ya mwaka 1970 na mwaka 1998 wakati misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ajabu ni katika wakati huo huo...
Namaanisha speakers za mdundo mzuri na radio selector yake zinaweza kunigharimu bei gani wakuu.
Ambavyo ukifungulia muziki watu wa kitaa wanaweza kuenjoy muziki mzuri
Japo malaya ni malaya, je kuna tofauti kati ya malaya wa ngono na siasa? Malaya wa ngono husababisha umaskini na miwaya. Wa kisiasa nao pia husababisha umaskini na uchawa. Je kuna uhusiano au tofauti gani kati ya malaya hawa aina mbili?
Inajulikana Rais Trump katika kipindi kisichozidi siku 100 maamzi yake yameathiri watu wengi na Taasisi nyingi duniani kote,najua Tanzania siyo kisiwa lazima kuna watu wameathirika na maamzi ya hovyo kwakipindi hiki kifupi!
Karibu!
Habarini wanajamvi!
Naombeni msaada wa njia ama dawa inayoponya vipele vinavyotokana na kunyoa ndevu. Nimejaribu kubadili njia mbadala za kunyoa, kama vile mashine, magic, wembe nk, lakini hakuna iliyoniletea nafuu.
Tafadhali nishaurini!
Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa.
Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo.
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Naomba msaada kwa Tanzania Benki gani inatoa huduma hii ya Recurring Depost?
Nimejaribu kutafuta maelezo kwenye mtandao sijapata.
Nahitaji sana hii huduma
Shalom wakuu…
Unatumia mswaki brand gani nzuri? Maana miswaki yetu hii ya whitedent ya jero jero ukiswakia mara chache tayari haifai.
Brand ipi nzuri wakuu?
My list
- Snowfall - Alton alikuwa teja lakini familia yake ikamkubali upya, matokeo yake akaanza kusnitch, huyu mzee hana shukrani na kasababisha anguko kubwa sana la Franklin
- Prison Break - (T BAG ) aiseee !! huyu jamaa ana tamaa vibaya mno ukiongeza na ukatili wake kachangia sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.