Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema mji wa Tarime una nafasi ya kipekee ya kudai haki kupitia chama hicho cha upinzani hasa kikipewa uongozi na wananchi. Lissu ameyasema hayo leo Novemba 21, 2024, wakati akiongea na wananchi wa Tarime akiwa...
Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao.
Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi.
Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza.
Vyote viwili havina mashiko kiuhalisia na kisayansi.
Wote wanatafuta kupiga fedha.
Wote ni wababaishaji.
Je, hawa...
Katika zama hizi, kuna mijadala mingi kuhusu muda unaohitajika kabla ya watu wawili kuamua kufunga ndoa. Wengine wanaamini kwamba muda wa uchumba wa miaka kadhaa ni muhimu ili kufahamu tabia halisi za mwenza wako na kuona kama mnaweza kuishi pamoja kwa maisha ya ndoa. Lakini pia, kuna wale...
Kuna benki kadhaa hap nchini imekuwa ni kama utamaduni / mazoea mtu kukalishwa muda mrefu mpala lisaa unasubiri kuweka / kutoa pesa.
Ni kweli mawakala wapo lakini kuna sababu zinatulazimu kwenda bank, mawakala wengi huwezi kuingiza au kutoa zaidi ya milioni 1.
Unaingia Benki, unatoa kikaratasi...
Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1954 ili kukuza ustawi wa watoto duniani kote na kuongeza uelewa kuhusu haki zao. Pia ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Mkataba wa Haki za Mtoto (Convention on the Rights of the Child) mnamo 1989.
Ni fursa nzuri ya:
Kujifunza kuhusu haki za watoto...
Nimeamini kumbe wajinga ni wengi sana aisee na wala hauwezi kuona watu wanaojielewa wapo thread za kubishania dini na huu ndiyo mtaji mkubwa wa wanasiasa uchwara kwa sababu watu wanaojielewa wapo bize na constructive topic na sio hizi mada za kujimbwafai kwamba dini fulani ni mbaya na dini...
Tangu kifo chake mwaka 2004, kuna sintofahamu ni kipi hasa kilimuua Kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat. Kuna nadharia nyingi juu ya kifo chake, wengine wanadai aliuaawa na wengine wanadai alikufa kifo Cha kawaida.
1. Nadharia ya kwanza: Aliuawa.
Wengi kwenye nadharia ya kwanza...
Wakuu naandika hapa ila kichwani niko confused sana, Dadangu aliondoka hom zaidi ya miaka 20, akaenda huko Dar es salaam katika harakati zake na tulipoteana, Kwa baadae kabisa tukapata kuwasliana upya, kwa kipndi hiko na mim nilikuwa nishatoka mkoani nimejenga Jiji flan hapa Tanzania, ikabidi...
Wakuu niwape pole kwa maafa yalioikumba nchi yetu kufatia kuporomoka kwa jengo la biashara mjini dar es Salaam mitaa ya kariakoo na pia natoa wito kwa vyombo kuharakisha uokozi ili watu walio chini wafikiwe haraka na wakutwe wako Hai
Sasa baada ya utangulizi huo niende kwenye mada kama...
Haya makanisa yanayoota kama uyoga yanayojiita ya kiroho yana vituko achilia mbali hiyo miujiza feki. Eimeen ni neno la lugha gani? Siyo neno halisi katika lugha mama za biblia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.