gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Customer care: Kuna shida kubwa sana kwa makampuni mengi hapa nchini kuwa na poor customer care kwa wateja wake. Toa ushuhuda wako hapa!

    Kama mteja, uliwahi kukumbana na aina gani ya ugumu pale ulipohitaji msaada kutoka kwa huduma kwa wateja?
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika hatulimi matunda yetu ya asili?

    Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwanini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili yanapatikana kwenu na ungependa kuona yanalimwa?
  3. JamiiForums Tanzania Nyimbo gani ukiisikia inakupa furaha, mzuka, Amani

    Mimi kama THE BEEKEEPER nikisikiliza nyimbo ya Eminem, not afraid. inanipa mzuka sana wa kufanya harakati zangu za kila siku. Kwako mdau ni ipi?
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuondoa hii message kwenye desktop au pc?

    How to fix this message?
  5. JamiiForums Tanzania Piga Kura: Klabu gani itashinda Champions League 2024?

    Habari wakuu, Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Champions League 2024 na kwa nini?
  6. JamiiForums Tanzania Mwandishi gani wa habari Tanzania ni wa kariba ya Mohammed Ali wa Jicho Pevu Kenya Rd?

    Kwa sasa ni Mbunge wa Nyali huko Mombasa. Kabla ya kujikuta kwenye siasa, alikuwa ni Mwandishi machachari wa habari za kichunguzi zilizokuwa zikirushwa katika kipindi kilichopata umaarufu mkubwa kilichojulukana kwa jina la JICHO PEVU, na kurushwa na moja ya vituo vya runinga nchini Kenya. Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Umri gani sahihi kumjulisha mtoto wa kuasili kuwa ulimuasili?

    Hii inawahusu watoto wanaoasiliwa wakiwa wadogo, kabla ya "kujitambua". Ukiema usubiri mpaka awe mtu mzima ndipo umwambie ukweli, inaweza isiwe sahihi. Kunaweza kumwumiza nafsi kufahamu kuwa kipindi chote alichoishi na wewe hakuwa mwanao wa kumzaa. Ukisema umjulishe angali akiwa mdogo, alu...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kuhusu msimamo wa Tanzania juu ya Somalia?

    Sera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke anapokuuliza "una mpango gani na mimi" anamaanisha nini?

    Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
  10. JamiiForums Tanzania Wenye miaka zaidi ya 30, kitu gani unajutia kufanya/kutofanya kabla ya kufikisha miaka 30?

    Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings. Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja. Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote imekufa. Ongezea tujifunze
  11. JamiiForums Tanzania Akiba yako kiasi gani na imekaa muda gani?

    Samahanini sana Nina swali mimi watu kibao wanaonishauri mambo ya fedha wananikumbusha kujiwekea akiba kwa ajili ya dharura na wanajinasibu kabisa wao wanaweka akiba ipo imetulia sehemu. Huwa najiuliza mbona vipindi vingi hata wao hulia knock je kweli uwe na akiba na ujibane usitumie uishi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Chapakazi Dodoma: Je, unashida gani ndani ya jiji la Dodoma? kutokana na ubize wako huwezi kufanya ? haya kijana wako nipo hapa nitume nikutumikie

    Habari za kazi wakuu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku, Mimi ni kijana wa kiume mwaminifu na chapakazi sitaki nizungumze sana ila ufanyaji wangu wa kazi utajieleza. lengo la kuandika uzi huu maalumu ni kwamba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa napenda kukutaarifu boss wangu natuma...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Unatarajia wanasiasa watakuja na mbinu gani kuwalaghai watumishi Mei Mosi,2024?

    Tumekaribia siku ya wafanyakazi Duniani. Kitaifa siku hii kwa Tanzania na nchi baadhi za Afrika utumika kuwalaghai watumishi wa umma kwa kuwapa Maneno matamu na ya faraja Tupo kwenye tatizo lililoanzishwa na CCM kupitia bunge linaloitwa kikoakotoo...naamini hapa patakuwa na siasa siku ya mei...
  14. JamiiForums Tanzania Jina gani la bar umewahi kukutana nalo?

    Kuna majina mengi ya bar ya ajabu mengine yana maneo makali sana Nitaanza na mfano 1. Kidimbwi 2. Toroka uje Weka jina unalofahamu
  15. JamiiForums Tanzania Kuna shida gani? Vijana wengi wanaohitimu wa kozi ya IT hawawezi kutengeneza website

    Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa nataka niwape wafanye lakini naona wameshindwa walikimbia kuifanya Kazi yangu Ahadi nyingi nitafanya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Ndege gani Cheap (Dar -Cape Town)?

    Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu. Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD, Dep: 11/05 Ret: 14/05
  17. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu gani ina rekodi sauti vizuri ambayo naweza kuitumia ku record content you tube?

    Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30. Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25. Nakumbuka mwaka 2017 nilinunua kisimu cha promotion pale Mlimani City cha VODAFONE. Nilikinunua sh elfu...
  18. JamiiForums Tanzania Msemo gani unatumia kujifariji baada ya kumaliza pesa kwa matumizi ya kijinga au starehe?

    "SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA" Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka, Jijini Arusha, hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya Advance Millioni +. Sikukuu ya Pasaka ilipofika mwenyeji wangu akasema twende kusherekea kwenye Bar...
  19. JamiiForums Tanzania Je ni albam gani ya wasanii wa hiphop Tanzania uliisikiliza na kuiona ni albam bora na siyo bora albam??

    hizi ndiyo albam zangu bora kabisa za hiphop zilizofanywa na wasanii wa Tanzania (1) PROF JAY, albam yake inayoitwa MACHOZI, DAMU NA JASHO hii albamu huwa siichoki kuisikiliza ina kila kitu elimu,kufurahisha na kusisimua jamii mwamba ukimsikiliza katika hii albamu unajua kabisa he is a geneus...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Nitumie kimiminika gani kusafisha saketi ya kifaa cha umeme

    Nina router nataka kuisafisha nimeshaifungua lakini nimeona niwaulize nitumie kimiminika gani kuisafisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…