Wasalaam.
Wakuu wenye uzoefu na magari ya Singapore, naomba uzoefu wenu. Hizi gari za Singapore nyingi zimenyooka kweli kweli, sio nje wa ndani kote, yani ni nzuri sana. Kama mtu akitaka kuagiza kutoka Singapore, ni vitu gani vya kuzingatia kabla ya kufanya maamuzi? Na kwanini story za mitaani...