Naomba ushauri kuhusu magari Singapore na tofauti yake na magari ya Japan

Mworia's Inc

Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
18
Reaction score
25
Wasalaam.

Wakuu wenye uzoefu na magari ya Singapore, naomba uzoefu wenu. Hizi gari za Singapore nyingi zimenyooka kweli kweli, sio nje wa ndani kote, yani ni nzuri sana. Kama mtu akitaka kuagiza kutoka Singapore, ni vitu gani vya kuzingatia kabla ya kufanya maamuzi? Na kwanini story za mitaani nyingi ni kama hizi gari za Singapore sio za kuagiza, wengi wanashauri Japan, japo za Singapore tunaziona ila chache.

Pia naona TRA Valuation System kwa hii gari niliyo sample hapo hawana Singapore as country of origin, ni Japan tu. Hii ni kwa nini?

Naombeni maoni yenu kwa wenye uzoefu. Nimesample gari moja hapo nimeweka na picha. Wenye maoni ambayo yatahusisha gari niliyo-sample pia hapo mnakaribishwa.

1791620066780.png
1791620085737.png
 
Maoni yenu wakuu
 
Mkuu kuna threads zipo ndani hapa zinazungumzia uhovyo wa margarita ya Singapore sema sikumbuki ningeweka hapa,,lakini zipo,zinazohusu kwanini magari ya Singapore ni mabovu na hayafai kuagiza, lakini kwenye uzuri wa nje, mwonekano mpaka bei yapo safi kwenye picha lakini uharisia ni tofauti utalia na kusaga meno Mad Max Extrovert Isanga family
 
Singapore wana magari mabovu sema watu hawashauriki na wengine wanauliza hapa unasikia yameleta majanga ndio wanakutafuta tena kuna jamaa niliwahi kumshauri kuhusu Scania za Korea wanazobadili sterling kuweka upande wa kulia kutoka kushoto nilimwambia ni nzuri kufanya kwenye gari ndogo na si truck kwa sababu mfumo wa umeme kuleta short ni rahisi sana jama truck zake zote tatu zimeungua na ingine hiyo iliyogonga Bus lililoua abiria 32 chanzo ni moto wa Scania zile gari hata ukiigonga na gari ndogo lazima iwake moto huko wananunua bei ndogo ila madhara yake ndio hayo ukiwashauri mapema hawaanini mpaka yalete madhara kama hivyo..
 
Singapore hawana inspection standard procedure kama Japan ama china ama Dubai ukaguzi wa magari au usalama wa magari ....magari ya Singapore yanakuja na kasoro nyingi Ambazo kwenye cheti cha inspection hazionekani utakuja piga ukunga kiongozi kaa nayo mbali sijasema kasoro zote
 
Oops Hatari Sana
 
Sahihi mpaka liwakute jambo,mambo ya mtetemko ndio tatizo baadae yqnatokea makubwa.
 
Singapore wana magari mabovu sema watu hawashauriki na wengine wanauliza hapa unasikia yameleta majanga ndio wanakutafuta tena kuna jamaa niliwahi kumshauri kuhusu Scania za Korea wanazobadili sterling kuweka upande wa kulia kutoka kushoto nilimwambia ni nzuri kufanya kwenye gari ndogo na si truck kwa sababu mfumo wa umeme kuleta short ni rahisi sana jama truck zake zote tatu zimeungua na ingine hiyo iliyogonga Bus lililoua abiria 32 chanzo ni moto wa Scania zile gari hata ukiigonga na gari ndogo lazima iwake moto huko wananunua bei ndogo ila madhara yake ndio hayo ukiwashauri mapema hawaanini mpaka yalete madhara kama hivyo..
Kwa nini alibadili sukani toka kushoto, asingeyaendesha kwa kutumia kushoto?

Mbona gari za jeshi toka Russia, sijaona wakijihangaisha kuyamodify?
 
Mkuu kuna threads zipo ndani hapa zinazungumzia uhovyo wa margarita ya Singapore sema sikumbuki ningeweka hapa,,lakini zipo,zinazohusu kwanini magari ya Singapore ni mabovu na hayafai kuagiza, lakini kwenye uzuri wa nje, mwonekano mpaka bei yapo safi kwenye picha lakini uharisia ni tofauti utalia na kusaga meno Mad Max Extrovert Isanga family
Shukrani sana.
Wamekuja kushea Maoni yao ila pia nilijaribu kutafuta izo nyuzi. All in all nimepata nilicho hitaji kwa kiasi chake
 
Singapore wana magari mabovu sema watu hawashauriki na wengine wanauliza hapa unasikia yameleta majanga ndio wanakutafuta tena kuna jamaa niliwahi kumshauri kuhusu Scania za Korea wanazobadili sterling kuweka upande wa kulia kutoka kushoto nilimwambia ni nzuri kufanya kwenye gari ndogo na si truck kwa sababu mfumo wa umeme kuleta short ni rahisi sana jama truck zake zote tatu zimeungua na ingine hiyo iliyogonga Bus lililoua abiria 32 chanzo ni moto wa Scania zile gari hata ukiigonga na gari ndogo lazima iwake moto huko wananunua bei ndogo ila madhara yake ndio hayo ukiwashauri mapema hawaanini mpaka yalete madhara kama hivyo..
Duh...aise so sad shida Singapore gari zao zinavutia sana wange kua strict kam Japan wangepiga hela Sana na ile policy yao ya 10 yrs cerficate of ownership
 
Humu watu wengi wametapeliwa SA wengine kiasi kikubwa mpaka 53m wakiibiwa ndio wanakuja inbox eti
Humu watu wengi wametapeliwa SA wengine kiasi kikubwa mpaka 53m wakiibiwa ndio wanakuja inbox eti nifiatilie sijui Interpol..

Ata kwa kutumia Makampuni kama Beforwad Bado Kuna kutapeliwa Tena?
 
Kama unataka gari roho ya paka nunua kutoka Japan nje ya hapo uwe na hela ya matengenezo. Hakuna gari mbovu kama una hela ya kuitengeneza, Japan wapo vyema kwenye kuihudumia gari. Sina uzoefu na magari ya Singapore
Shukran mtaalam
 
Singapore hawana inspection standard procedure kama Japan ama china ama Dubai ukaguzi wa magari au usalama wa magari ....magari ya Singapore yanakuja na kasoro nyingi Ambazo kwenye cheti cha inspection hazionekani utakuja piga ukunga kiongozi kaa nayo mbali sijasema kasoro zote
Ndio Maana Inspection sheet zao looks fabricated
 
Back
Top Bottom