Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Singapore wanatumia sana gari zao na pia nimeona ubora upo chini kidogo niliikagua Hikux moja ya miaka ya karibuni ya kawaida sana tofauti na Nchi zingine..Duh...aise so sad shida Singapore gari zao zinavutia sana wange kua strict kam Japan wangepiga hela Sana na ile policy yao ya 10 yrs cerficate of ownership