gas hasili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naweza kuwa Wakala wa Gasi za kupikia kwa mtaji huu?

    Wakuu kwema? Samahani wakuu. Mimi Nina mtaji wa 3M naweza kuwa wakala wa kuuza gas za kupikia majumbani na kwenye biashara ndogo ndogo. Utaratibu wake upoje? Na bei zake zinaendaje? Naomba kufahamu kutoka kwenu wenye uweledi na uzoefu juu ya biashara hii. Natanguliza shukran za dhati kwenu.
  2. JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kutumia gesi kwenye gari lilitongenezwa kutumia petrol

    Habari wataalam, Naomba nijue faida na hasara kwa wale waliotumia gesi kama petrol / diesel kwenye magari au bajaji. natanguliza shukrani zenu kwangu. Karibuni wataalam.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…