Anwar Mtasingwa
Member
- Nov 17, 2016
- 8
- 6
Wakuu kwema?
Samahani wakuu. Mimi Nina mtaji wa 3M naweza kuwa wakala wa kuuza gas za kupikia majumbani na kwenye biashara ndogo ndogo. Utaratibu wake upoje? Na bei zake zinaendaje?
Naomba kufahamu kutoka kwenu wenye uweledi na uzoefu juu ya biashara hii.
Natanguliza shukran za dhati kwenu.