gawio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    NHC yaagizwa kuweka lengo la kutoa gawio la Tsh. Bilioni 10 kwa Serikali

    Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuweka lengo la kutoa gawio Serikalini la Tsh. Bilioni 10 kwa mwaka Ujao wa fedha. Kauli hiyo ameitoa katika Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa NHC kilichofanyika mkoani Pwani mapema, Februari 24, 2025. Akizungumza...
  2. Juice world

    Nikiweka billioni 5 UTT Amis napata gawio bei gani?

    Wazee chukulia nina billion 5 kutoka kwenye biashara zangu mbalimbali. Nimeona tangazo la UTT Amis kwamba wanagawa gawio zuri kwa mwaka ndio nikataka kuwauliza nyie rafiki zangu wa humu JamiiForums. Je, hawa jamaa nikiweka pesa inakua salama? Nikiweka Bilioni 5 napata gawio Bei Gani Kila...
  3. gcmmedia

    Kwanini makampuni ya simu yanatoa magawio?

    Kuna nyakati naona jumbe kupewa gawio na mtandao wa simu, unakuta ni kama Sh 38 n.k. Naomba kuuliza, mimi si mwanahisa wa kampuni ya simu yoyote, ni mteja tu. Kwa nini wanajipa gawio? Kiasi cha gawio hutolewa kwa vigezo vipi? Kampuni ya simu inalenga nini kutoa gawio kwa wateja wake (gawio si...
  4. Replica

    Nimependa wazo la kijiji cha Mundindi kununua hati fungani, wameweza ndoto iliyowashinda Simba SC

    Kijiji cha Mundindi kilichopo wilayani Ludewa kilipewa fidia ya Tshs 464 na kati ya hizo Tshs 400 milioni waliamua kununua hati fungani katika benki mojawapo nchini itayowapa gawio la Tshs 41 kila mwaka. Kijiji kilipata fedha hizo baada ya kupewa fidia ya ardhi kutoka Serikalini baada ya kupisha...
  5. M

    Gawio la NMB Bank

    Heri ya Sikukuu ya Eid. Mimi ni mwanahisa wa NMB Bank. Nauliza kama wameshatuwekea Gawio maana sijaona meseji ya muamala!!!kwa mwanahisa mwenzangu msaada tafadhali
  6. Roving Journalist

    MABEYO (CDF MSTAAFU): Vijana wanakosa mwelekeo, tunajenga hofu kwa taifa la kesho (Juni 11, 2024)

    https://www.youtube.com/live/N5UQz7YOdMQ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam, leo tarehe 11/06/2024. MABEYO (CDF MSTAAFU): Vijana wanakosa mwelekeo, tunajenga hofu kwa taifa la...
  7. L

    Rais Samia kupokea Gawio na Michango kutoka Mashirika na Taasisi za Umma, Matukio kurushwa live kupitia vyombo vyote vya habari

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Hii leo muda na Majira ya saa tano asubuhi atafanya tukio zito sana...
  8. The Sunk Cost Fallacy 2

    Mbeya Cement Company LTD yatoa gawio la Tsh bilioni 3 kwa Serikali

    Kampuni ya Mbeya Cemetent Kwa mara ya kwanza imetangaza kutoa Gawio kwa wana hisa wake ikiwemo Serikali na NSSF kufuatia kuanza kupata faida ,hii ni baada ya hasara ya miaka 10 mfululizo. Hatua hii imefikiwa baada ya Kazi kubwa ikiyofanywa na Serikali ya Rais Samia Kupitia Msajili wa Makampuni...
  9. B

    Wanahisa wa Benki ya CRDB waidhinisha Malipo ya Gawio la Shilingi Bilioni 130.6 kwa Mwaka wa Fedha wa 2023

    Arusha 18 Mei 2024 - Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha kwa kauli moja mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi kuhusu malipo ya gawio la Shilingi 50 kwa kila hisa jambo linalofanya jumla ya thamani ya gawio la mwaka wa fedha 2023 kufikia Shilingi bilioni 130.6, sawa na 30.9% ya faida halisi...
  10. mkarimani feki

    Niwekeze kiasi gani UTT AMIS ili gawio langu kwa mwezi ifike 250k

    Wakuu nime-estimate matumizi ya familia yangu, bills na msosi kwa mwezi jumla yake ni 250k. Je mfuko gani UTT unaoweza kunipa fixed commission ya 250k kwa mwezi?
  11. R

    Rais akiri yapo mashirika yalikuwa yanakopa fedha ili watoe gawio kwa serikali

    Nchi hii in maajabu sana; tunadanganywa sana. Kama wapo wakurugenzi walikuwa wanakopa kudeclare gawio kwa serikali tena wakiwasilisha hizo taarifa kwa Mhe. Rais unajiuliza hadi udanganyifu huu ubarikiwe nani na kufanyika mbele ya camera wahusika walikuwa wananufaikaje? Je, hayo madeni nani...
  12. K

    Naipongeza sana NMB kwa gawio kwa wanahisa wake

    Nichukue nafasi hii kwa kuipongeza NMB kwa gawio zuri kwa wanahisa wake kwa mwaka 2022/23. Naiomba CRDB iige mfano mzuri wa NMB kwa kutoa gawio inayoendana na uwekezaji wao. Gawio la CRDB ni ndogo sana na hii inawakatisha tamaa wanahisa wake. Hongera sana CEO wa NMB Mama Zaipuna.
  13. K

    Gawio NMB vs CRDB

    Wahasibu mnisaidie hapa. Mwezi huu tumesikia CRDB wametoa gawio la 118bn kwa wanahisa wake, ambapo serikali yenye 21% imekabidhiwa 45.8bn. Kwa upande wa NMB wametoa gawio la 143bn na Serikali yenye 31% imepata 45.5bn. Hii kihasibu imekaaje, maana kihesabu za uwiano imegoma.
  14. MZALENDO TZ

    Benki ya NBC Yakabidhi Gawio la Tsh Bil 20 Kwa wana hisa wake, yajivunia mafanikio.

    Msajili wa Hazina Bw Nehemiah Mchechu (wa tatu kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh 6 Bilion kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw Theobald Sabi (Kushoto) ikiwa gawio la mwaka 2022 kwa Serikali ambayo inamiliki asilimia 30 ya hisa za benki hiyo. Wanaoshuhudia ni...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Sababu za mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali

    Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali. Baadhi ya sababu hizo ni: 1. Uongozi mbaya: Mashirika ya serikali yanaweza kuingia hasara kama uongozi wake ni mbaya na usiofaa. Wakurugenzi na mameneja wa mashirika haya...
  16. BARD AI

    Familia ya Kenyatta yapata gawio la Tsh. Bilioni 58.7 za Hisa inazomiliki NCBA Bank

    Familia ya Kenyatta imepata Tsh. Bilioni 58.7 kwa mwaka mmoja kutokana na umiliki wao wa hisa za NCBA Group baada ya mkopeshaji wa daraja la juu kukaidi kushuka kwa soko la hisa na kuibuka kuwa hisa bora zaidi katika Soko la Hisa la Nairobi (NSE). Hisa za NCBA zilipanda kwa asilimia 57.94 mwaka...
  17. Mwl Athumani Ramadhani

    Chama cha ujamaa na kujitegemea cuk(self reliance and socialist party SSP) na dhamira yake ya gawio la Rasilimali KWA kila mwananchi!je itawezekana!!?

    Baada ya katiba mpya kupatikana hiki ni Moja ya chama kitakacho sajiliwa kikiwa na dhamira njema ya kurudisha nguvu ya umma kwenye rasilimali zetu yaani wananchi wapate gawio la Moja KWA Moja la rasilimali zao kupitia akaunti za Benki na simu zao. Wadau wa uchumi mnadhani ndoto hiyo inaweza...
  18. N

    STAMICO watoa gawio. Nao wamekopa?

    Leo STAMICO wametoa gawio la 2.2 B kwa serikali. Juzi Mama yenu alikuwa anaponda Mashirika kuwa yalikuwa yanakopa ili kutoa gawio kwa Serikali. Sasa naona na yeye anaenda mulemule. Kukaa na mnafiki ni hatari kwa afya na maisha yako.
  19. J

    Rais Samia: Wakuu wa Mashirika walikuwa wanakopa fedha Benki ili walipe Gawio Serikalini kulinda vibarua vyao

    Rais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao Rais Samia amesema Mashirika ya Umma yote yataangaliwa upya Source ITV ====== “Najua miaka iliyopita kuna kipindi maalumu...
  20. M

    Kitanzi cha gawio

    Rais Samia Suluhu Hassan amefichua Siri iliyokuwa imefichika kuhusu gawio kwa serikali yaliyokuwa yakitolewa na baadhi ya mashirika na taasisi za umma huku yakiwa yamepata hasara. Mkuu huyo wa nchi amesema viongozi wa mashirika hayo walikuwa wakikopa fedha benki na kupeleka gawio serikalini ili...
Back
Top Bottom