gawio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kulikoni gawio la Vodacom!

    Ndugu zangu mimi ni mwanahisa wa Vodacom ninauliza kama tayari wamekwishatoa gawio lao kwa wanahisa. Naona Mabenki tayari yamekwishatoa gawio kulikoni Vodacom?.
  2. K

    Kulikoni gawio la Vodacom!

    Nimesoma kupitia website ya Vodacom kuwa kwa mwaka 2022 gawio la kila hisa ni Tshs.430. Je wanahisa tayari wamewekewa fedha zao kwenye akaunti zao?.
  3. K

    Kama Mwanahisa nawapongeza sana NMB kwa kutugawia gawio kubwa na inayoridhisha

    Binafsi niwapongeze sana uongozi mzima wa National Microfinance Bank(NMB) chini ya uongozi wa Mkurugenzi Mtendaji Mama Zaipuna kwa kazi nzuri mnayoifanya na kutuwezesha sisi wanahisa kupata gawio kubwa na ya kutosha kwa kila hisa. Leo nimeingiziwa kwenye akaunti yangu siyo chini ya millioni...
  4. K

    Gawio la Hisa CRDB

    Kama mwanahisa napenda nielemishwe kwa yafuatayo:- (1) Ni kigezo gani kinachotumika (Directors fees)mathalani Wakurugenzi 10 kulipwa Tshs.965,000,000 kwa mwaka na hii ina maana ya Tshs 96,500,000 kwa Mkurugenzi moja kwa mwaka na Tshs 8,041,666 kwa mwezi kwa mkurugenzi moja na kwa siku...
  5. K

    Gawio la hisa za CRDB

    Jana kulikuwa na mkutano wa wanahisa wa CRDB kule Arusha na katika agenda ya gawio kwa wanahisa waliazimia kuwa kila hisa moja watatoa gawio la Tshs.36. Binafsi kama mwanahisa sijaridhika na gawio la Tshs.36 kwa hisa mpaka nipate majibu kwa yafuatayo:- (1) Ni vigezo gani mliotumia kufikia...
  6. N

    Kwanini CRDB hutoa gawio dogo?

    Benki ya CRDB ni moja kati ya benki kubwa hapa nchini. Kitu nisichoelewa kutoka benki hii ni sababu zinazoifanya benki kutangaza gawio kiduchu mara inapoatangaza ukifananisha na banki za ukubwa wake kama NMB? Je inaweza kuwa ni sababu ya benki kuwa na expenses kubwa ambazo zikipunguzwa...
  7. MK254

    Gawio la mabenki ya Kenya lavunja rekodi mpya, Bilioni 51.7

    Hili soko linatisha balaa..... Na sasa tumeteka DRC ============================ Local listed banks nearly trebled their dividend payout for the 2021 financial year, rewarding shareholders who have seen a mixed performance in capital gains on their stock in the period. The nine lenders...
  8. MakinikiA

    Mashirika mbona hayatoi gawio kama tulivyozoea wakati wa awamu ya tano?

    Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
  9. F

    Vodacom hawajatoa gawio la hisa mwaka huu, shida nini?

    Kampuni ya mawasiliano kwa njia ya simu za mikononi Vodacom, hawakutoa gawio kwa wana hisa wake, shida nini? Ni kawaida kutoa gawio mwezi June au July, lakini mwaka huu hakuna kitu. Kunanini Vodacom?
  10. Erythrocyte

    Maendeleo: Mkoa wa Dodoma wapokea gawio la Tsh mil 500 lililotokana na Tozo, kujenga vituo vya afya

    Hii ni taarifa aliyoitoa Mkuu wa Mkoa huo, Antony Mtaka alipokuwa anawasilisha taarifa ndani ya vikao vya CCM vilivyofanyika mkoani humo.
  11. K

    Mimi ni mwanahisa wa CRDB, sijapata gawio hadi leo

    Kikao cha Wanahisa wa CRDB kimefanyika siku za karibuni na mimi kama Mwanahisa sijaona gawio la mwaka huu unaotokana na uwekezaji tuliouwekeza kwenye Benki hii. Wenzao NMB katika kikao chao cha tarehe 4 Juni, 2021 moja ya ajenda yao ni mapendekezo ya gawio kwa kila mwanahisa ambayo ni...
  12. Labile

    Je, HISA zako zitakuwepo hata kampuni ikifirisika?

    Habari ya muda wanajamvi? Napenda kujua kitu kimoja kuhusu HISA, inasemekana kampuni inapopata hasara basi hakuna gawio. Swali ni kwamba je, HISA zako zitakuwepo hata kampuni ikifirisika na ili uziuze kwa bei ya hasara au ikifirisika unakosa kila kitu. ========= Makampuni mengi yanayokuwa na...
Back
Top Bottom