Kama mwanahisa napenda nielemishwe kwa yafuatayo:-
(1) Ni kigezo gani kinachotumika (Directors fees)mathalani Wakurugenzi 10 kulipwa Tshs.965,000,000 kwa mwaka na hii ina maana ya Tshs 96,500,000 kwa Mkurugenzi moja kwa mwaka na Tshs 8,041,666 kwa mwezi kwa mkurugenzi moja na kwa siku...