gazeti la mwananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Gazeti la Mwananchi lina ubia na Januari Makamba?

    Tangu Waziri wa Nishati, Januari Makamba alivyoanza ziara yake ya mikoa 14 ya kugawa majiko ya gesi katika Mkoa wa Mara amekuwa akiandikwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanchi peke yake Kama ziara hii ni ya kiserikali na ni ya kiongozi wa kitaifa kwanini magazeti mengine yakiwemo Nipashe, The...
  2. Gama

    Gazeti la Mwananchi na habari kuhusu harufu mbaya Vingunguti

    Mimi hupenda kusoma magazeti kwa sababu mbalimbali. Katika magazeti ya nyumbani Gazeti la mwananchi halikosikani katika menu yangu pale inapowezekeana Mada Leo nimesoma article inayosema "Harufu kali machinjio ya Vingunguti yaleta kilio". Kilichonifanya kuandika humu si harufu wala kilio, ni...
  3. aka2030

    Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

    Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako 1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi? 2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
  4. GENTAMYCINE

    Kwa kichwa cha habari cha gazeti la MWANANCHI la leo Aprili 1, 2022 unajifunza na kugundua nini?

    Kinasema... 'Wamerudi Aiseeee" Tafadhali wale Wabobezi na Wanazuoni wa Lugha adhimu ya Kiswahili tunaomba mje hapa mtuelimisha maana na dhana pana na Neno 'Wamerudi' halafu hapo hapo tena Mtu anasema Neno 'Aiseeee' katika kumalizia. Karibuni.
  5. Memento

    Gazeti la Mwananchi limeongopa, Aliyemtishia Nape bastola sio mmoja wa waliokamatwa Mtwara

    Gazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara. Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola. Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani...
  6. Hivi punde

    Waziri Lugola: Wizara haihusiki na kupotea kwa Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communication Limited, Azory Gwanda

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema wizara hiyo haihusiki na kupotea kwa mwandishi wa habari wa kampuni ya Mwananchi Communication Limited (Ltd), Azory Gwanda. Kangi ametoa kauli hiyo, leo Ijumaa Julai 6, 2018 wakati wa mkutano wake na wanahabari uliofanyika Ofisi ndogo ya wizara...
  7. Donatila

    Mwandishi wa kampuni ya Mwananchi Communications (MCL), Azory Gwanda apotea. Ni siku 10 na hajulikani alipo

    Mwandishi wa @MwananchiNews apotea. Siku 10 hajulikani alipo. Alikuwa anafanya uchunguzi wa Habari nyeti. Nataraji kesho tutajua zaidi - ZZK. KUHUSU AZORY GWANDA Azory Gwanda alizaliwa 1975 na alikuwa ni mwandishi wa habari wa Kampuni ya ya Mwananchi Communications iliyopo jijini Dar es...
Back
Top Bottom