Timu za Simba na Yanga zimeendeleza moto katika Ligi Kuu Bara, Yanga imeifunga Fountain Gate magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Sheik Amri Abeid Jijini Arusha, Simba imeichapa Geita Gold magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Isamuhyo, Dar es Salaam.
Yanga inaongoza msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na alama 15 sawa na...