uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 19,101
- 31,995
Timu za Simba na Yanga zimeendeleza moto katika Ligi Kuu Bara, Yanga imeifunga Fountain Gate magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Sheik Amri Abeid Jijini Arusha, Simba imeichapa Geita Gold magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Isamuhyo, Dar es Salaam.
Yanga inaongoza msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na alama 15 sawa na Simba inayoshika nafasi ya pili, zote zikiwa zimeshinda michezo yao mitano ya Ligi Kuu Bara Msimu wa 2026/27.
Match Day
Kikosi chetu.
🦁🦁🦁
Tukutane Jioni kwa live Updates...
Hii tutashinda kwa kishindo.
#nguvumoja.
Updates.
Mpira umeanza kwa kasi kidogo.
Dakika 8
Simba wanapata faulo nje kidogo ya 18.
Inapigwa inamgonga mchezaji wa Geita.
Inakuwa kona.
Anapiga Libase inababatiza inaokolewa.
Game on
Dk 10
0-0
Yanga inaongoza msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na alama 15 sawa na Simba inayoshika nafasi ya pili, zote zikiwa zimeshinda michezo yao mitano ya Ligi Kuu Bara Msimu wa 2026/27.
Match Day
Kikosi chetu.
🦁🦁🦁
Tukutane Jioni kwa live Updates...
Hii tutashinda kwa kishindo.
#nguvumoja.
Updates.
Mpira umeanza kwa kasi kidogo.
Dakika 8
Simba wanapata faulo nje kidogo ya 18.
Inapigwa inamgonga mchezaji wa Geita.
Inakuwa kona.
Anapiga Libase inababatiza inaokolewa.
Game on
Dk 10
0-0