FT: Simba SC 2-0 Geita Gold | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 31-08-2026

FT: Simba SC 2-0 Geita Gold | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 31-08-2026

Chirwa anakula kadi ya Njano Dakika 13
 
Refa anaenda kwenye FVS
 
Morris alijirusha
 
Moto unawaka kwenye goli la Geita
 
Chamaaaaaaaaaaaaa chumaaaaa
 
Dk 23
Sisi 1 wao 0
 
Kadi nyingine ya Njano kwa Geita
 
Hii timu itakula nyingi.
Wanapishana na Mnyama mkali!
Mwenye Njaa kali...
 
DK 26
Simba anaendelea kufanya mashambulizi makali sana kwenye lango la Geita Gold
1-0
 
Mmeona namna Simba anavyocheza hapo Mbele...
Mbinu safi sana Ile
 
Back
Top Bottom