bullbar
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 485
- 830
Nitakaa VIP kabisa nimtizame Osimhen wa ku buddy...Match Day
View attachment 3660457
🦁🦁🦁
Tukutane Jioni kwa live Updates...
Hii tutashinda kwa kishindo.
#nguvumoja.
Nitakaa VIP kabisa nimtizame Osimhen wa ku buddy...Match Day
View attachment 3660457
🦁🦁🦁
Tukutane Jioni kwa live Updates...
Hii tutashinda kwa kishindo.
#nguvumoja.
Kabla ya mechi kula ushibe meza na dawa za maumivu kabisa. Leo ushindi wenu ni sare au mnakula chumaEndelea kuota.
Sonona mnapata nyie na vimuhe muhe...
Kutuombea mabaya
Wait and watch kabumbuSimba hii unaiangalia ukiwa na Paracetamol na Valium mkononi...
Chama anatumika kuliko mahitaji yake kwa sasa, anahitaji mtu wa kusaidiana naye kwenye hiyo zone 14.. dakika 90 zinampalia yuko active siyo zaidi ya dakika 40..
Striker ni hakuna anayeeleweka kwa timu kama Simba, hiyo zone 17 huwa kuna vivuli tu vinasimama..