Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Musukuma, leo Machi 6, 2025, ameonesha magari 10 ya kubebea wagonjwa pamoja na moja kwa ajili ya Jeshi la Polisi, ambayo atawakabidhi wananchi wa jimbo lake ili kuboresha huduma za afya na usalama wa jamii.
Musukuma amesema magari hayo yatanufaisha wananchi wa...
Mbunge wa Jimbo la Geita Dkt. Joseph Kasheku Musukuma, amesema kuwa milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.
Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameingia kwenye Jimbo la Geita Vijijini na kuwasha moto mkubwa wa Katiba Mpya, wananchi wamepata wasaa wa kupiga kura hadharani ya kuukataa Mkataba wa kitumwa wa Bandari na DP World.
Kabla ya kura hiyo, Wananchi wa Jimbo hilo walilalamika kwamba, ukiacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.