geita vijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Muuguzi katika Kituo cha afya cha Nyarugusu anawalangua Wagonjwa bei ghali

    Katika Kituo cha Afya Nyarugusu, Geita Vijijini, kuna muuguzi na mtaalamu wa usingizi anayeitwa Fredrik Lugay ambaye anadaiwa kufanya upasuaji kwa wajawazito na wagonjwa wengine, huku akitoza fedha zaidi ya kiwango kilichowekwa na mfumo wa serikali. Inadaiwa kuwa mfumo wa serikali unatoza...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya Halmashauri ya Geita Vijijini hawajalipwa fedha za kujikimu tangu Januari 2025

    Watumishi Walimu ajira mpya wananyanyaswa sana katika ngazi ya halmashauri, baadhi ya halmashauri hazilipi hela ya kujikimu kwao, fikiria kaajiriwa toka January ya 2025 hadi sasa hajapewa hela ya kujikimu 🙄. Halmashauri ya Geita Vijijini ni mfano, hawalipi hela ya kujikimu, walimu ajira mpya...
  3. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA tunalaani kukamatwa na kuteswa kwa familia na majirani wa mwenyekiti wa CHADEMA Geita Vijijini, Neema Chozaile

    KUHUSU KUKAMATWA NA KUTESWA KWA FAMILIA NA MAJIRANI WA MWENYEKITI WA CHADEMA GEITA VIJIJINI, BI. NEEMA CHOZAILE Sisi, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),tunalaani vikali kitendo cha kukamatwa kiholela, kuteswa na kushikiliwa kinyume cha sheria kwa watoto, wanafamilia na majirani wa Bi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Geita Vijijini tangu March 2025 mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu

    Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums. Nyingine soma ~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Musukuma atumia zaidi ya Tsh bilioni 1 kununua ambulance, gari la Polisi na kujenga kituo cha Polisi Geita Vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Musukuma, leo Machi 6, 2025, ameonesha magari 10 ya kubebea wagonjwa pamoja na moja kwa ajili ya Jeshi la Polisi, ambayo atawakabidhi wananchi wa jimbo lake ili kuboresha huduma za afya na usalama wa jamii. Musukuma amesema magari hayo yatanufaisha wananchi wa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musukuma: Milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo Geita Vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Geita Dkt. Joseph Kasheku Musukuma, amesema kuwa milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Joseph Kasheku Musukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini kumpigia makofi Tundu Lissu

    Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema. Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita. Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni 255 yaendelea kutikisa Geita Vijijini, Dkt. Musukuma akalia kuti kavu

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameingia kwenye Jimbo la Geita Vijijini na kuwasha moto mkubwa wa Katiba Mpya, wananchi wamepata wasaa wa kupiga kura hadharani ya kuukataa Mkataba wa kitumwa wa Bandari na DP World. Kabla ya kura hiyo, Wananchi wa Jimbo hilo walilalamika kwamba, ukiacha...
Back
Top Bottom