A
Anonymous
Guest
Katika Kituo cha Afya Nyarugusu, Geita Vijijini, kuna muuguzi na mtaalamu wa usingizi anayeitwa Fredrik Lugay ambaye anadaiwa kufanya upasuaji kwa wajawazito na wagonjwa wengine, huku akitoza fedha zaidi ya kiwango kilichowekwa na mfumo wa serikali.
Inadaiwa kuwa mfumo wa serikali unatoza Shilingi 110,000 kwa huduma hiyo, lakini yeye huomba hadi Shilingi 400,000 kwa upasuaji, hali ambayo imekuwa kero kwa wananchi wa Nyarugusu. Ushahidi wa malalamiko hayo unadaiwa kuwepo.
Mfano ni mgonjwa aitwaye Mwajuma Mrisho, mwenye umri wa miaka 28, ambaye alifanyiwa upasuaji wa appendicitis na uvimbe tarehe 2/4/2026 katika Kituo cha Afya Nyarugusu-Geita. Alilipa Shilingi 350,000 kwa mhudumu huyo anayefahamika kama Fred, lakini hakusajiliwa wala kupewa risiti.
Mnamo tarehe 9/4/2026 aliporudi hospitalini kutokana na kuendelea kuumwa, ndipo alipopewa risiti ya Shilingi 3,000 pekee.