A
Anonymous
Guest
Watumishi Walimu ajira mpya wananyanyaswa sana katika ngazi ya halmashauri, baadhi ya halmashauri hazilipi hela ya kujikimu kwao, fikiria kaajiriwa toka January ya 2025 hadi sasa hajapewa hela ya kujikimu 🙄.
Halmashauri ya Geita Vijijini ni mfano, hawalipi hela ya kujikimu, walimu ajira mpya toka Mwaka 2025 January walioajiriwa hawajalipwa kabisa pesa ya kujikimu ilihali halmashauri zingine wamelipa.