geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    Geita yatangaza uhaba mkubwa wa walimu hasa wa Sayansi na Hisabati

    Tatizo la uhaba wa Walimu wa Masomo ya Sayansi na Hisabati kwa Shule za Sekondari mkoani Geita limefikia asilimia 56 hadi sasa, hali inayosababisha wanafunzi wengi kutofanya vizuri kwenye masomo hayo na kuathiri maendeleo ya elimu mkoani hapa. Akitoa taarifa ya elimu mkoani hapa wiki iliyopita...
  2. Analogia Malenga

    Geita: Jela miaka 30 kubaka mhudumu wa baa

    MAHAKAMA ya Wilaya ya Geita imemhukumu mkazi wa Katoro, Justini Silivini (24), kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kubaka. Alitiwa hatiani na kupewa adhabu hiyo baada ya mahakama hiyo kuridhika kuwa alimbaka mwanamke mwenye umri wa miaka 21 na kumsababishia maumivu...
  3. Analogia Malenga

    Geita: Watu 6000 wavamia nyumba ya mtu ili kuchimba dhahabu

    ENEO la nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Nyambogo Kata ya Nyakafuru Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita limevamia na watu zaidi ya 6,000 kwa ajili ya kusaka madini ya dhahabu. Makundi mbalimbali ya watu kutoka maeneo kadhaa yamefika kijijini hapo kwenye nyumba hiyo, baada ya mwanakijiji...
  4. MC44

    Geita: Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Richa 4.8 latikisa

    Limepita saa hii 05:38am na kudumu kwa sek 10 hv. Sijui maeneo mengine vipi.
  5. P

    Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Hivi umepata kujiuliza unapopita katika mitaa mbalimbali ya mjini Dar au mji mwingine wowote Tanzania, jina la mtaa au eneo husika limetokana na nini? Kwa mfano, Kijito Nyama limetokana na nini? Au Mlalakuwa, Au Mtoni kwa Aziz Ali n.k, n.k. Labda utadhani imetokea tu ... just ipo ipo, hapana...
  6. M

    Job Vacancy at Geita Gold Mining Ltd: Longhole Drill Operator

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
  7. Kasomi

    GEITA: Wanafunzi wa Shule ya sekondari Lwezera wajeruhiwa na Radi

    Wanafunzi wamejeruhiwa na Radi katika shule ya sekondari Lwezera Majira ya leo mchana wakati mvua ikiwa inanyesha Radi imepiga maeneo ya Lwezera mkoani Geita katika wilaya ya Geita. Radi hiyo imejeruhi wanafunzi katika shule ya sekondari Lwezera lakini hakuna kifo kilicho ripotiwa mpaka sasa...
  8. Papaa Mobimba

    Viongozi wa Kamati ya Maji Geita watiwa mbaroni kwa ubadhilifu wa pesa

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia viongozi watatu wa kamati ya jumuiya ya maji inayosimamia mradi wa maji wa Mharamba uliopo wilayani Geita, kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha wanazokusanya kwa wananchi kwa kuwauzia maji kwa kipindi cha miaka sita. Baada ya waziri kuvuja jumuiya hiyo...
  9. Ugumu wangu

    #COVID19 Geita: Wanafunzi wakimbia ovyo wakiogopa chanjo, Kaimu Mkurugenzi ataka waelimishwe chanjo ni hiari

    Hii ni Tanzania pekee😂😂😂😂 ====== Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Geita Edith Mpinzile, amewaagiza wazazi, walimu na maafisa elimu kutoa elimu kwa wanafunzi kuwa chanjo ya Corona ni hiari na haitolewi kwao kufuatia vitendo vya wanafunzi kukimbia madarasani kila waonapo gari...
  10. albab

    Musukuma unajisikiaje uliowachongea kuendelea kupeta kwenye teuzi?

    Miezi kadhaa nyuma Mbunge Musukuma uliibua ununuzi wa gari VXR-V8 Geita, ukaibua ujenzi wa bustani (eneo la kupumzikia), ukaponda ukaongea sana, ukawachongea mkuu wa mkoa Luhumbi na mkurugenzi Geita mji. Nimeusoma mkeka Mkurugenzi uliemchongea yupo Ilemela, Luhumbi ndio mkuu wa mkoa Mwanza...
  11. Idugunde

    Geita: Wananchi wamuua aliyemshambulia Askari

    Kijana anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 amefariki dunia kwa kushambuliwa na wananchi baada ya kumjeruhi kwenye taya na kidevu Askari wa Usalama Barabarani kwa kumpiga na chuma cha kupondea mawe (Moko), wakati akiwa kwenye eneo lake la kazi Mtaa wa Mwembeni, barabara ya Katoro Ushirombo...
  12. Analogia Malenga

    Chato: Raia walalamika kupigwa na Askari wa Maliasili

    Wakazi wa Kata ya Buseresere Wilayani Chato Mkoani Geita wamemuomba Waziri wa Maliasili na Utalii kuchukua hatua kwa askari wa maliasili wanaowapiga na kuwadhalilisha wananchi nyakati za usiku na mchana wakati wakiendesha zoezi la kutafuta mkaa majumbani kwa madai ya kukomesha uchomaji mkaa...
  13. Superbug

    Afisa elimu mkoa wa Geita afariki ghafla kikaoni

    Afisa elimu mkoa wa geita Julius Nestory amefariki ghafla kikaoni. Taarifa zitawajia punde. === Ofisa Elimu Mkoa wa Geita, Julias Nestory amefariki ghafla wakati akiwa kwenye kikao na maofisa elimu wa wilaya kilichofanyika katika Shule ya Sekondari Nyankumbu iliyopo mjini Geita. Mganga...
  14. Shujaa Mwendazake

    Mamlaka ya Mkuu wa Mkoa vs Waziri : Ipi tofauti kati ya "Makambi ya RC Mtaka" na RC Geita kufukuza wanafunzi 11 na kuhamisha Walimu .

    Mods uzi una maudhui tofauti na nyuzi zilizopita japo nimezitumia kama Mfano. Nimeweka Link ya Mijadala hiyo Miwili ili kuweka kumbukumbu sawa. Kuna mada imetrend sana kwenye jamvi letu kuhusu Kauli ya RC wa Dodoma Mh Mtaka akipinga maagizo ya Waziri wa elimu Prof Ndalichako ya kutaka kuondolewa...
  15. Analogia Malenga

    Wanafunzi 11 shule iliyoungua moto Geita wafukuzwa

    Kufuatia matukio matatu ya moto katika Shule ya Sekondari Geita ndani ya siku saba na kusababisha wanafunzi watatu kujeruhiwa, maabara na darasa kuteketea kwa moto, mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule ameiagiza bodi ya shule hiyo kuwafukuza wanafunzi 11 waliobainika kuwa na makosa ya...
  16. Miss Zomboko

    Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (GESECO) imefungwa kwa muda wa wiki mbili baada ya kuungua mara 3 ndani ya siku 7

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule ameifunga Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (GESECO) kwa muda wa wiki mbili baada ya moto kuwaka katika bweni la wavulana usiku wa kuamkia leo Julai 14, 2021. Kutokana na uamuzi huo, wanafunzi wote wametakiwa kurudi majumbani, na wanafunzi wanaosoma...
  17. Jamii Opportunities

    Head Teacher at Geita Gold International School

    ABOUT GEITA GOLD INTERNATIONAL SCHOOL (GGIS) Geita Gold International School (GGIS) is owned and maintained by Geita Gold Mining Ltd, located at Geita Region within the mine license area. The school is accredited by the Council of International Schools (CIS) and affiliated to Association of...
  18. BAK

    #COVID19 Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Rais Samia akiwa katika ziara yake mkoa wa Morogoro maeneo ya Kibaigwa amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari juu janga la Covid-19. Katika kufafanua jambo hili Rais Samia amesisitiza kuwa wimbi la tatu la ugonjwa huu limeshaanza kutikisa katika miji mikubwa ya taifa la Tanzania. Aidha...
  19. Mangole Valles Michael

    Kutokana na changamoto za kibiashara mkoani Geita nafikiria kuhama mkoa, naomba mnishauri

    Wakuu habarini za leo!? Lengo kuu la Uzi huu ni kutaka mawazo mbadala ama ushauli kutoka kwenu. Mimi mkazi wa Geita mjini mwenye miaka 24, sjaoa na Wala Sina mtoto. Naweza kusema kwasasa mm ni mzawa wa geita mjini japo kua skuzaliwa hapa ila nimeishi tangu mwaka 2002 mpaka leo. Mwaka 2018...
  20. GENTAMYCINE

    Bukombe, Geita: Walimu waripotiwa kuzihama nyumba walizojengewa na Serikali kutokana mauzauza

    Baadhi ya walimu wilaya ya Bukombe wameripotiwa kuzihama nyumba walizojengewa na Serikali na kwenda kupanga mjini Ushirombo kutokana na kuona mauzamauza ya sungura waliovaa tai na watu waliosimama katika nyumba hizo usiku. Hayo yamebainishwa katika kikao cha baraza la madiwani. Chanzo: Clouds...
Back
Top Bottom