geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Secretary wa afisa madini Mkoa wa Geita ajirekebishe

    Secretary wa Afisa Madini mkoa wa Geita ajirekebishe. Ofisi ya madini Mkoa wa Geita umekuwa kero tena kero kubwa. Time ya madini imemficha PS au secretary wa afisa madini Mkoa wa Geita na kuruhusu huyu mama kufanyia wateja chochote anachotaka. 1. Hana customer care 2. Bila rushwa hakuhudumii...
  2. U

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa viongozi 23 wa Wakala wa RUWASA, meneja wa Mkoa wa Geita na mameneja wa wilaya 20

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa viongozi 23 wa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira (Ruwasa) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi za mamlaka hiyo, Deusdedith Magoma. Aidha, Aweso ameiagiza Bodi ya wakurugenzi ya Ruwasa kutengua uteuzi wa meneja wa anayeshughulikia...
  3. J

    Rais wa Ethiopia awasili Chato mkoani Geita. Rais Magufuli aahaidi kuwaachia wahamiaji haramu 1789 kutoka Ethiopia bila masharti

    Ndege iliyomleta Rais wa Ethiopia ndio inatua hapa Chato. Rais Magufuli na viongozi wengine wanashangilia ndege hii ya Ethiopian inapotua. Rais Zewde anakuwa kiongozi wa tatu wa kimataifa kufika nchini kukutana na Rais Magufuli kwa mazungumzo kwa mwaka huu 2021, aliyefungua pazia ni waziri wa...
  4. Geita: Mwanafunzi wa Kidato cha 2 auawa baada ya kutuhumiwa kuiba kuni kwenye Shamba la Miti

    Jesshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia Said Shabani (39) kwa kosa la kumuua Naomi James (17) mwanafunzi wa kidato cha pili, Shule ya Sekondari Kivukoni, mkazi wa Mtaa wa Nyatorotoro B, Kata ya Nyankumbu wilayani Geita Mkoani Geita kwa kumutuhumu kuiba kuni. Akizungumza tukio hilo leo...
  5. Geita: Wanafunzi wakosa matokeo yao baada ya Mwalimu Mkuu kula ada za Mitihani

    Serikali mkoani Geita imeuagiza uongozi wa shule ya sekondari ya Geita Islamic, ifikapo kesho asubuhi iwasilishe stakabadhi za malipo ya mitihani ya wanafunzi, baada ya Mwalimu Mkuu wa shule hiyo kukiri kula ada za mitihani ya Taifa ya wanafunzi wa kidato cha Pili na cha Nne. Akizungumza...
  6. Barabara ya Geita kwenda Kamyorwa itengenezwe upya,ni kiungo muhimu kwa uchumi wa taifa

    Kwa wakazi wa mikoa ya Mwanza,Geita na Kagera wanafahamu umuhimu wa hii barabara hasa kwa uchumi wa eneo hili. Maana ni njia muhimu sana katika kusafirisha watu na bidhaa hasa kwa eneo hili. Hii barabara ilikamilika mwaka 2008 na hapo ndipo ilichochea maendeleo hasa sehemu ilizopita. Kabla...
  7. Geita: Makada 50 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wasimamishwa Uongozi kwa tuhuma za kuhujumu Chama kwenye Uchaguzi

    Wasalaam!! Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Geita imewafukuza uachama makada 50 baada ya kuchangia kupungua kura za Rais Uchaguzi mkuu 2020. Hayo yamesemwa na bwana Masele ambaye alisema waliojitokeza kupiga kura ni 56,000 badala ya 100,000 jambo ambalo lilichangiwa na fitna za makada hao. Habari...
  8. J

    Kwa sasa Geita inachangia pakubwa kwenye pato la Taifa, “inastahili" kama Kilimanjaro enzi za kahawa!

    Geita haijaumbwa ili iwe mashimo baada ya kuchimba madini bali inastahili maendeleo kama mikoa mingine. Nimeona niseme hili maana ujenzi wa kimaendeleo wa uwanja wa ndege na hospitali ya Rufaa unawanyima usingizi Chadema ambao wamewahi kuwa na wabunge makini kutoka kanda ya ziwa. Geita na...
  9. Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Picha za Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo imewekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita leo tarehe 11 Januari 2021.
  10. Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

    TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
  11. J

    Profesa Kabudi: Tanzania kupokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje

    Profesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo. Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa urafiki na China uliosainiwa na Mwalimu Nyerere miaka 55 iliyopita, amesema Prof Kabudi. Chanzo: Eatv...
  12. B

    Tuache SIASA: Dege la kwenda Geita limejaa abiria ni wengi, nimekosa siti

    Aiseee Dege limejaa Kama lote abiria ni wakumwaga tuache masikhara jamani. Wanaosema abiria hawatakuwepo ni waongo sana. Hapa nahisi nitakosa siti jamani.
  13. E

    Mkuu wa mkoa wa Geita , hii inakuhusu

    Mh. Mkuu wa mkoa wa Geita, nikuombe ufatilie utendaji kazi wa mkuu wa wilaya na mkurugenzi katika wilaya ya nyang'wale. Mkoa wako wa Geita. Mh. Mkuu wa mkoa, lakini pia jaribu kukagua riport za miradi ya barabara ktk wilaya hiyo ya nyang'wale inayotekelezwa na wakara wa barabara vijijini TARURA...
  14. Dkt. John Magufuli, nami namwombea radhi Mkurugenzi wa Geita - mengi mazuri ameyafanya

    Mhe Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, mtoto wako kaunyea mkono "msamehe". Mkurugenzi kafanya mengi Kajenga Zahanati, Kadhibiti mianya ya rushwa, Kajenga shule za msingi Kaongeza mapato ya halmashauri, Kadhibiti nidhamu kwa watumishi wake, Kadhibiti makazi holela, Na mengine mengi mazuri jamani...
  15. Mbunge wa Geita Mjini anatia mashaka. Anataka kusema Musukuma ni muongo?

    Nimemsikiliza mbunge wa Geita mjini ndugu Costantine Kanyasu kwa kweli anashangaza sana. Nini kimemfanya akurupuke kuanza kutoa maoni kama haya kabla ya uchunguzi? Nilimsikiliza waziri Jaffo alipopewa kazi yake ya kwanza kuunda tume kuchunguza ubadhilifu halimashauri ya Geita,alisema pesa mil...
  16. A

    Wito: Waziri Jafo tumeona maelekezo ya Geita na Mpanda ni maamuzi mazuri, Temeke je?

    Kupitia vyombo vya habari kwa siku za hivi karibuni tumeona Mh Jafo akimsimamisha Mkurugenzi wa Geita kupisha uchunguzi na pia ametoa maelekezo kama hayo kwa Halmashauri ya Mpanda. Lakini Mh. Jafo watu wengi wanajiuliza kuna lile Gari la Mkurugenzi wa Temeke ambalo limenunuliwa 400M mwaka...
  17. J

    Kwani gari Toyota VX "Geita Model" ni bei gani dukani? Na taratibu za manunuzi serikalini zikoje?

    Nilimsikia waziri wa fedha Dr Mpango akiwaambia watumishi wa Hazina kwamba fedha zinaliwa sana kwenye halmashauri kwa kutumia utaratibu wa sasa wa " Fosi Akaunti" Jana nikamsikia waziri wa Tamisemi Jaffo akisema DED wa Geita alitumia mwanya wa kuvunjwa Baraza la Mawaziri akakimbia haraka haraka...
  18. TANZIA Geita: Madiwani wawili wateule wa CCM wafariki dunia

    Haya sasa, uchaguzi mdogo kabla hata ya uapisho. --- Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili wateule kufariki dunia kwa nyakati tofauti wakati wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumamosi...
  19. Geita: Amsababishia mwenzake kifo wakati akimtoa mimba nyumbani

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, linamshikilia Vestina Michael (44), mkazi wa Buseresere wilayani Chato kwa tuhuma za kumtoa mimba na kumsababisha kifo Mariam Msalaba (40), ambaye alipoteza maisha muda mfupi baada ya kutolewa mimba nyumbani kwa mtuhumiwa. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita...
  20. GEITA: Afisa ardhi Agustino Sibeye mbaroni kwa kuwagonga na gari na kuwaua wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Afisa ardhi wilaya ya Nyangwale Agustino Sibeye kwa kuwagonga na gari wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa na kufariki dunia wakati wakivuka barabara kuelekea shuleni. Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Hanry Mwaibambe amesema afisa huyo wa ardhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…