geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Influenza

    LGE2024 Geita: Mawakala, Wapiga kura wavurugana katika kituo cha kupiga kura cha Mwatulole Center yadaiwa Mwanafunzi asiye na miaka 18 apiga kura

    Ni hali halisi ya upigaji wa kura uchaguzi serikali za mitaa ukiendelea katika Halmashauri ya Mji wa Geita, hapa ni kituo cha Mwatulole Center. Hayo yote yametokea baada ya kubainika kuwa kuna Wanafunzi wamejiandikisha na kupiga kura wakiwa bado Wanansoma na mwingine kujiandisha kwa...
  2. Waufukweni

    LGE2024 Mwenyekiti Umoja wa Vijana (CCM) Geita, Manjale: Uchaguzi huu tunakwenda kuzika Upinzani

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (CCM) Mkoa wa Geita , Manjale Magambo amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu wanauita ni Uchaguzi maalumu ambao utakwenda kuvizika vyama vya upinzani. Kauli hiyo ameitoa wakati akiwanadi Viongozi wagombea ngazi ya...
  3. Cute Wife

    LGE2024 Mwenyekiti CHADEMA Geita: Watendaji mnasema mnatishwa, timizeni wajibu wenu hakuna atakayetishwa

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa moto huko, patashika nguo kuchanika ikiwa ni siku ya pili ya kampenzi za uchaguzi serikali za mitaa. ===== Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika...
  4. Hamduni

    Issa Gavu wa CCM awasili Geita kuzindua kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa

    GAVU AWASILI GEITA KUZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) Oganaisheni na Mjumbe wa Kamati Kuu Issa Gavu amewasili mkoani Geita kwa ajili ya kuzindua rasmi Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Vijiji na Vitongoji unaotarajia kufanyika Novemba 27 mwaka...
  5. Cute Wife

    LGE2024 Geita: BAWACHA yalaani kuenguliwa kwa wagombea wa CHADEMA

    Wakuu, Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limelaani vikali hatua ya kuenguliwa kwa wagombea wa CHADEMA katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vijiji unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Kaimu Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa, Sharifa Suleiman, alitoa kauli...
  6. mdukuzi

    Mkoa mpya wa Chato washindikana, wadau wataka makao makuu ya mkoa yawe Nyakanazi, Wanachato wakataa wasema bora wabakie Geita

    Kama Hayati Magufuli angekuwa hai mpaka keo,hyenda Chato ingeshakuwa mkoa unaojitegemea Kama tunavyofahamu hulka yake wala asingesubiri vikao vya wadau kutoa maoendekezo,angeamka asubuhi na kutangaza oresidential decree kuwa Chato ni mkoa. Baada ya kufariki hiyo ndoto ya Chato kuwa mkoa...
  7. Mindyou

    LGE2024 Geita: Wagombea walioenguliwa watuhumiwa kutoa vitisho kwa wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Kumbe CCM wakiwatishia wapinzani ni sawa tu lakini Waoinzani wakiwatishia CCM, viongozi wake wanaenda hadi kwenye vyombo vya habari kulialia Hivi karibuni nimemuona Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Yefred Myenzi, akieleza kuwa baadhi ya wagombea ambao majina yao yalikatwa...
  8. Cute Wife

    LGE2024 Geita Mjini: CHADEMA walalamikia kuenguliwa kwa wagombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Mambo ni moto kila sehemu, ni mwendo wa kuengua tu na kubakisha wa kupita bila kutoa jasho. ===== Viongozi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Geita Mjini mkoani Geita, wamelalamikia kuenguliwa kwa majina ya wagombea wao wa nafasi za Uenyekiti...
  9. A

    Namtafutia mwanangu nafasi ya form one 2025 mikoa ya mwanza Geita Shinyanga Simiyu Mara

    Heshima Kwenu, Nina binti anatakiwa awe shuleni form one mwakani.baada ya kuhitimu darasa la saba. SIFA ZA SHULE 1. Shule ni lazima iwe boarding. 2. ADA mwisho iwe milioni 2.5 kwa mwaka. 3. Nazingatia zaidi Good and strict parenting kwa watoto, Taaluma kwangu iwe option ya pili au ya tatu...
  10. Roving Journalist

     Tatizo la Maji kwa Mji wa Geita kuwa Historia kufikia Oktoba 2025

    Hali ya upatikanaji wa Maji kwa sasa kwa Mji wa Geita ni asilimia 75 kwa Wakazi wasiopungua 360,000. Mji wa Geita ni moja ya miji ambayo inakuwa kwa kasi hasa kwa shughuli za kiuchumi na Wananchi wengi wanajenga Milimani ukilinganisha na usawa wa miundombinu ya Maji ya inayohudumia na hivyo...
  11. L

    Pre GE2025 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

    Ndugu zangu Watanzania, Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita. Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia...
  12. GoldDhahabu

    Mkoa wa Geita utakuja kuwa "Johannesburg" ya Tanzania?

    Inasemekana, kabla ya mwaka 1895, Cape Town ndio uliokuwa mji mkubwa wa Afrika Kusini. Lakini kugundulika kwa dhahabu miaka ya 1880's Johannesburg, kulifanya huo mji kukua kwa kasi na hatimaye kuupita Cape Town. Mpaka sasa ndiyo mji mkubwa kuliko yote Afrika Kusini, nafikiri! Inawezekana mkoa...
  13. BLACK MOVEMENT

    Hizo Dhahabu zinazo chimbwa Geita na kwingineko kanda ya Ziwa, mbona bado Umasikini uko juu sana?

    Ukimsikia Raisi anaongea kule Geita unaweza dhania ni eneo lenya maisha ya juu kabisa kwa Raia ila ukweli kuna umasikini mkubwa sana kwa raia pale Geita, nenda huko Geita Vijijini kwa Msukuma kule ndio balaa tupu ni full umasikini wa kuonekana kwa macho. Hio Geita ukisikia wakina Musukuma...
  14. Waufukweni

    Geita: Anthony Mavunde aahidi kuingiza Tsh. Trilioni 1 Katika Mfuko wa Serikali kutoka Sekta ya Madini

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amezungumza mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini leo tarehe 13 Oktoba, 2024, mkoani Geita. amesema kuwa Wizara ya Madini imejipanga kuingiza Tsh. trilioni 1 kwenye mfuko wa...
  15. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde - Maonesho ya Madini Geita Kuboresha Kufikia Hadhi ya Kimataifa

    MAONESHO YA MADINI GEITA KUBORESHWA KUFIKIA HADHI YA KIMATAIFA-MAVUNDE - Rais Samia Suluhu Hassan kufunga maonesho -I dadi ya washiriki wa nje ya nchi waongezeka - RC Shigela aeleza mpango wa kujenga majengo ya kudumu na kuboresha miundombinu 📍Bombabili EPZ, Geita Waziri wa Madini Mh...
  16. Stephano Mgendanyi

    Geita Yatikisa Katika Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    GEITA YATIKISA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO ● Wananchi wamshukuru Rais , Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza miradi ●Miradi ya maendeleo yatekelezwa kwa asilimia 90 ⚫️ Wilaya ya Mbogwe na Bukombe zapiga hatua kubwa kimaendeleo ●Sekta ya Madini Geita ya kinara katika...
  17. Roving Journalist

    Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini kuzinduliwa na Waziri wa Madini Geita

    NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko atazindua Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini Geita yaliyoanza Oktoba 2, 2024 kwenye viwanja vya Bombambili mkoani Geita. Akizungumza katika Banda la Tume ya Madini Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine...
  18. Roving Journalist

    Polisi Geita wachangia damu, kuadhimisha miaka 60

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, wamechangia damu kwa ajili ya kuwasaidia wananchi pindi wanapopata Changamoto za uhitaji wa damu katika Wilaya ya Mbogwe Mkoa wa Geita. Kamishna Msaidizi wa Polisi ACPMagai Chassa amesema Jeshi la...
  19. B

    Geita: Mchungaji wa GGIS atekwa wilayani Bukombe akiwa dukani kwake

    TUKIO: Alitekwa jana majira ya saa tatu akiwa karibu na duka lake. WATEKAJI: Walikuja na gari aina ya landcruiser yenye vioo tinded wakapaki karibu yake wakashuka watu kama watatu hivi wakamkamata kwa nguvu kwa kumvamia na kumuingiza kwenye ngari baadaye kuondoa gari kwa harakaharaka na...
  20. KING MIDAS

    Geita: Polisi wadaiwa kuua binti kwa risasi

    Mama Mzazi wa Mtoto Theresia John (18), Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Lulembela Mkoani Geita ambaye ni kati ya Watu wawili waliofariki kwenye vurugu za jana Kijijini hapo, amesema Mtoto wake aliuawa kwa risasi iliyofyatuliwa na Polisi wakati wakiwatawanya Watu. Akiongea na...
Back
Top Bottom