geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Kituo cha kupoza Umeme cha Mpomvu kuipa Geita umeme wa Megawati 90

    Uwepo wa kituo cha kupokea, kupoza na kusafirisha umeme mkubwa wa kilovoti 220/33 kutoka Bulyanuhlu hadi Mpomvu Geita sasa utaifanya Geita kupata umeme wa Megawati 90 wakati mahitaji yao kwa sasa ni Megawati 18. Kukamilika kwa kituo hiki kunaifanya Geita pia kuanza kupata umeme wa kutosha kwa...
  2. GENTAMYCINE

    Je, tulikuwa tunangojea twende Kwake Geita ili tuonyeshe Mapenzi yetu ya Kinafiki kwa Wamachinga aliokuwa akiwapenda na kuwajali?

    Na ni Matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa hata pale tulipoenda Kuzuru Kaburi lake tulimuomba Msamaha kwa Kuharibu karibia 75% ya Mambo ya Msingi ( hasa ya Kimiradi ) aliyokuwa anaitekeleza huku hadi sasa 90% imesimama baada ya kuruhusu Kukumbatiwa na Mafisadi na Mafia wa 2005 hadi 2015...
  3. peno hasegawa

    Rais Samia amemaliza ziara ya Mkoa wa Geita bila kuruhusu wananchi kuuliza maswali?

    Nimeona maajabu Mkoa wa Geita. Kila Rais anakopita haruhusu wananchi watoe yaliyo moyoni mwao kwa nini? Ukweli wananchi wana kero nyingi ambapo JPM alikuwa anawasikiliza na watu kuuliza sasa mikutano imekuwa kinyume.
  4. peno hasegawa

    Geita kuwa kitovu cha uchumi Afrika Mashariki

    Geita. Serikali imelenga kuufanya mkoa wa Geita kuwa kitovu cha uchumi ndani ya Taifa na ukanda wa Afrika Mashariki na kuwataka wananchi kutumia fursa hiyo hasa kwenye uwekezaji wa mwambao wa Ziwa Victoria ili kufanya mkoa huo kuwa lango la biashara. Akizungumza na wananchi wa mkoa huo kwenye...
  5. M

    GEITA: Kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya Chama Rais Samia akutana na Wajumbe wa kamati ya Siasa Mkoa, Dr Msukuma atia neno

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi tarehe 15 Oktoba, 2022 amekutana na kuzungumza na wajumbe wa kamati ya siasa Mkoa wa Geita. #CCMImara #KaziIendelee
  6. Teko Modise

    Je, Geita ni eneo hatari sana? Mbona walinzi wa Rais wamesimama juu ya gari?

    Vipi huko kanda ya ziwa hasa Chato, mkoani Geita ni eneo hatari sana? Inakuaje walinzi wa Rais Samia kusimama juu ya gari? Ndiyo wanawaogopa Sukuma Gang?
  7. N

    Wananchi Geita wajitokeza kumpokea Rais Samia kwa wingi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na wananchi waliojikusanya barabarani wakati wa ziara yake Mkoani Geita. Wananchi wa mkoa wa Geita wamejitokeza kumpokea Rais Samia Suluhu kwa wingi hii inathibitisha kua watu wananchi wanakubali kazi kubwa ya Rais Samia Suluhu. Rais Samia...
  8. Roving Journalist

    Rais Samia azungumza na Wananchi Kilangalala Mkoani Geita, Leo Oktoba 15, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi Kilangalala Mkoani Geita leo tarehe 15 Oktoba, 2022 ambapo pia alitembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Chato na kuzindua Kituo cha Kupoozea Umeme na Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu mkoani humo. =====...
  9. Sildenafil Citrate

    Wachimbaji madini wawili wafariki kwa kuangukiwa na kifusi Geita

    Wachimbaji wadogo wawili wa familia moja katika Kijiji cha Sabora wilayani Geita wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakichimba madini ya dhahabu. Wachimbaji hao Charles Nyamandodi na Benjamin Nyamandodi wanadaiwa kuingia kwenye shimo la uchimbaji lililoko kwenye leseni...
  10. jashmoe32

    Msaada wa Lodges Geita Mjini

    Heshima Kwenu Mwenye kujua lodges au gesti nzuri zilizopo Geita mjini na bei yake nitashukuru. Pia nitashukuru msaada wa namba za hiyo lodge kama mnazo. Ahsante
  11. BARD AI

    Serikali: Mikoa ya Tanga, Arusha, Mwanza, Pwani na Geita ina viashiria vya Ugaidi

    Waziri wa Mambo ya Ndani Eng. Masauni Yusuph Masauni ameitaja mikoa hiyo kuwa imekuwa na matukio ya kukamatwa kwa watuhumiwa waliokimbia baada ya kufanya vitendo vya ugaidi katika nchi jirani. Pia, kuna dalili ya kuenea kwa itikadi za msimamo mkali zinazopelekea watu kuhamasika na kujiunga na...
  12. D

    Dakika 90 leo, kufahamika Geita Gold CAF

    Geita gold walipoteza mchezo wao wa ugenini kwa kuruhusu goli 1-0 dhidi ya Hilal Alsahil, leo ndio siku ya marudiano je? Hilal Alsahil warndeleza moto ama Geita watalala yoooo? tusubiri dakikak 90.
  13. BigTall

    Ukatili wa kiuchumi wawatesa wanaume Geita

    Ukatili wa kiuchumi unaofanywa na baadhi ya wanaume wa Kata za Nzera na Kakubiro, Mkoa wa Geita wakati wa msimu wa mazao, unasababisha kufanyiwa ukatili wa kingono pindi msimu wa mazao unapomalizika. Wakizungumza leo Jumanne Septemba 6,2022 wakati wa mafunzo kwa kamati za Mpango wa Taifa wa...
  14. Vugu-Vugu

    MADINI: Dotto Biteko uso kwa uso na Mzee Kinana, atamani thamani ya dhahabu ionekane Geita

    KINANA "GEITA IENDANE NA THAMANI YA DHAHABU YA MKOA HUO" Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali mstaafu Abdulrhaman kinana amemshauri mkuu wa mkoa wa Geita Martin Shigella kuangalia namna nzuri ya kuupanga mji wa Geita uwe na Muonekano mzuri na wa kisasa na si...
  15. Vugu-Vugu

    GEITA: Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana azungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi

    Kinana na Shaka watia saini kitabu cha wageni, wazungumza na viongozi wa CCM Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka wametia saini kitabu cha wageni katika...
  16. Suley2019

    Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

    Mkazi wa Lukirini, Kata ya Kalangalala, wilayani Geita, Amina Hassan (34) amefariki dunia wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Geita baada ya kudaiwa kuchomwa visu mara 17 maeneo mbalimbali na mume wake. Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Ally Kitumbu amethibitisha kutokea...
  17. JanguKamaJangu

    Geita Gold kumsajili mchezaji raia wa Japan

    Kocha Mkuu wa Geita Gold, Fred Felix Minziro, amesema wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha vibali vya nyota wao, Shinobu Sakai raia wa Japan, tayari kwa kuanza kumtumia kwenye mechi za Ligi Kuu na mashindano mengine. Geita Gold ambayo inajiandaa na mashindano ya kimataifa ni miongoni mwa...
  18. Mkaruka

    Huyu DED wa Geita TC, Zahra Michuzi ni Mtoto wa Issa Michuzi aliyekuwa Mpiga picha wa Ikulu?

    Kwa anayejua!!!
  19. N

    Natabiri matokeo ya Simba vs Geita gold yatauwa (6-0)

    Simba leo wamefanikiwa kutoa gundu la kipuuzi kabisa, geita gold amekula goals 6-0 huku mfungaji wa goal la kwanza akiwa ni clatous chama dakika ya 7 Haijajulikana kilichosababisha simba waonyeshe mpira mzuri na wenye kasi kama walivyofanya leo na bado haiujulikani kama wata maintain kiwango...
  20. N

    GEITA GOLD KARIBUNI MAZOEZI YA WAZI BUNJU JUMATATU&JUMANNE

    Karibuni sana wachimba madini, team letu ni la kisasa na la kizungu halina mambo ya kizamani yale ya kiswahili eti kufanya mazoezi kwa kjifichaficha Karibuni sana Mo arena kuanzia kesho jumatatu tunarudi pale baada ya jana kuendeleza uteja kwa utopolo fc Hata mkirekodi kwenye simu au kuja na...
Back
Top Bottom