General Muhoozi amejitoa kwenye kinyang'anyiro cha uRais wa Uganda na atamuunga mkono baba yake mzee Museveni
Muhoozi atajikita zaidi kwenye kujenga Jeshi la kisasa
Sabato Njema 🌹
==========...
Kwa mara ya pili mtoto wa Rais wa Uganda, General Muhoozi kaitishia Kenya kwa mars ya pili, na kusema nitakuja for sure. Na anadai wakenya wamuombe msamaha yeye.
Mara ya kwanza Museveni aliomba Wakenya wamsamehe kijana wake ila kwa sasa kurudi tena.
Kwa sasa tweet hizi zimefutwa!
Mtoto wa Museveni General Muhoozi simeone Twit yake leo akionyesha anaunga mkono m23 kwa kusema wanatafuta haki yao.
Watu wengi wameshambulia lakini kuna wengine wamemuunga mkono.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.