Gen Alpha ni madogo waiozaliwa kuanzia 2010.
Nafikiri kielimu ndio bado vipo form 1, 2 or atleast 3 na mnaelewa mtoto wa form 2 siku hizi unakuta tayari ameshakuwa "porn star" au kama yupo mtaani tayari huyo ni mwanakijiji anafanya atakavyo maana siku hizi watoto hawataki kuitwa watoto.
Hawa watakuwa moto wa kuotea mbali, sababu wahafidhina na walafi wa resources watakuwa wamehodhi kila njia ya utajiri na mafanikio kwa kurithisha vizazi vyao!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.